Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Yani Habiba na Dorah ni janga la taifa.
Yani verevere
vibabu kama nyie ambao mwapenda kwenda tuu hovyohovyo ndio mnaowaponza kina Habiba hata wakawa na tabia hizo na mwisho wa siku wanakuja kuwaponza watoto wenu wa kiume!