Habarini wanajamii

Karibu sana

Je unafikiri wewe ni great thinker kama jukwaa hili linavyotaka.

Kipi unachokifahamu tuanzie ambacho unaweza share na wanajukwaa.
 
Karibu sana

Je unafikiri wewe ni great thinker kama jukwaa hili linavyotaka.

Kipi unachokifahamu tuanzie ambacho unaweza share na wanajukwaa.
Ndio mm ni great thinker thats why nikaamua kujiunga humu..

Lkn kwa kuwa bado ni mgeni humu naomba niwe mpole kwanza sababu waswahili husema "IVUMAYO HAIDUMU"
 
Back
Top Bottom