Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hahahahahaaaa.Hebu nyanyukeni tukanywe chai wadogo zangu mtarudi mkishashiba. Hahahaaa.
Ahsante Dada yetu, twendeni tutarudi baadae kwanza
Hahahahahaaaa.Hebu nyanyukeni tukanywe chai wadogo zangu mtarudi mkishashiba. Hahahaaa.
Poa mkuuSawa team majungu
Sisi tuanze akichelewa shauri yake...
Hahahaa. Sawa mdogo wangu.Sisi tuanze akichelewa shauri yake...
Hahah!! Umetufuma huku kwenye uzi wa mgeni mwenyejiHebu nyanyukeni tukanywe chai wadogo zangu mtarudi baadae. Hahahaaa.
Nawasalimu
Hahahaaa. Ndio sababu nawanyanyua hapa maana mnaweza pata Ban kisha yeye atarudi na id yake ya kale huku halafu mie nitawakosa humu.Hahah!! Umetufuma huku kwenye uzi wa mgeni mwenyeji

Nikweli wengi wao wanashindwa kuvaa uhusika wa kigeniMkuu mimi nashauri mtu akitaka kuja kwa ID nyingine ni bora asilete utambulisho maana kutuhadaa ni vigumu.