Habari zenu watanzania

Mkuu, kuna wakenya pia humu, ww umewasalimu waTZ tu.
Halafu unatukaribishaje Songea kabla sisi hatujakukaribisha JF?

Anyway, usiogope hz ni blah, blah tu.. Lengo langu ni kukukaribisha tu mkuu. Nasemaaa, KARIBU SANA JF!
 
Back
Top Bottom