Habari zenu wandugu

Haya vua ndala kisha ingia, karibu javini. Usha kariri mashariti ya humu lakini? Kwa kuwa wewe mgeni humu haya kimbia kwenye chumba cha makapuku wanakusubiri huko, ukifika kule we ongea chochote, haijalishi umekuta wanaongea nini, hata ukikuta wanalia we ukaamua kuimba sawa tu.
 
Back
Top Bottom