Sidhani kama unaweza pata iliyosimamia kucha kwa bei hiyo-Carina TI
-Allex
-Au Runic
Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri
Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
Tuma picha tuione mkuuMkuu usikatishe watu tamaa, nimepata premio matata sana, imesimamia kucha balaa
ukishaiona itakusaidia nini?Tuma picha tuione mkuu
Hakuhitaji huu ushauri, kama huna gari piga kimya ! Yeye ameamua kutest zari na offer ametoa.
Sorry Mkuu. Nilikua najaribu kushauri. Samahani.Hakuhitaji huu ushauri, kama huna gari piga kimya ! Yeye ameamua kutest zari na offer ametoa.
Sijali, niliona kama somo litapinda.
Du,hiyo bajet yako mkuu ni ndogo sana.-Carina TI
-Allex
-Au Runic
Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri
Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
Njoo nikupe Toyota Corolla X,#B.Ila ina marekebisho ya bush na taa 1 ya nyuma-Carina TI
-Allex
-Au Runic
Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri
Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
Bajaj 4.7m-Carina TI
-Allex
-Au Runic
Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri
Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
Madereva kirikuu mna stress sana.Sijali, niliona kama somo litapinda.