Ni gari gani used inafaa kati ya hizi?

City Rider

JF-Expert Member
Jul 31, 2022
403
1,210
Nataka kununua gari namba C au D kwa bajeti ya million 7-7.5

Machaguo

1. PREMIO 2006
2. CARINA TI
3. IST
4. ALLION
5. SPACIO

Ni gari ipi hapo inayovumilia na maintanance yake haiumizi kichwa, je ni ipi itanifaa kwa vurugu za hapa na pale nina ratiba nyingi town nataka roho ya paka kweli kweli

Natanguliza shukrani

NB: Naomba usinishauri kununua mpya.
 
Kwa kulingana na budget yako mimi nashauri hivi:

1. PREMIO 2006 (Chaguo la Pili au Tatu)
2. CARINA TI (Chaguo la Tano)
3. IST (Chaguo la Kwanza)
4. ALLION (Chaguo la Pili au Tatu)
5. SPACIO (Model ipi? Chaguo la Nne)

Chaguo la Kwanza Toyota IST.
Kwa hiyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L

Chaguo la Pili na Tatu ni Allion au Premio.
Ni ngumu kupata hizo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.

Ukiipata kwa hiyo budget yako jitahidi uende na fundi mzuri.

Chaguo la Nne iwe Spacio.
Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz ina nafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.

Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikuwa inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.

Huo ndio mtazamo wangu.
 
Kwa iyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L

Ni ngumu kupata izo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.

Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz inanafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.

Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikua inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.

Huo ndio mtazamo wangu.
Daaah ebwana mkuu this is huge umenirahisishia saaana ahsante nimeelewa vizuri sana.
 
Kwahiyo Carina Ti ndio ngumu kuliko zote inahimili mikimiki lakini siyo Fashionable
 
Kwa kulingana na budget yako mimi nashauri hivi:

1. PREMIO 2006 (Chaguo la Pili au Tatu)
2. CARINA TI (Chaguo la Tano)
3. IST (Chaguo la Kwanza)
4. ALLION (Chaguo la Pili au Tatu)
5. SPACIO (Model ipi? Chaguo la Nne)

Chaguo la Kwanza Toyota IST.
Kwa hiyo budget ni rahisi kupata IST iliyokatika hali nzuri. Pia, engine yake ni imara ina inatumia mafuta vizuri. Nashauri chagua yenye cc1480 (1.5L) kwa nguvu zaidi achana na 1.3L

Chaguo la Pili na Tatu ni Allion au Premio.
Ni ngumu kupata hizo gari zilizo katika hali nzuri kwa hiyo bei, ikiwezekana ichunguze sana maana izo gari bei ya moto. Nyingi mtaani Mil 10 kwenda juu.

Ukiipata kwa hiyo budget yako jitahidi uende na fundi mzuri.

Chaguo la Nne iwe Spacio.
Kama jina linavyosema, kama utatumia sana gari kubeba mizigo mfano bidhaa za shop, vyakula vya mifugo, kusafirisha mabox na mizigo hii itafaa sana coz ina nafasi sana ndani na boot kubwa kuliko yote hayo.

Chaguo la Mwisho Carina Ti.
Hii gari ilikuwa inapendwa Jamiiforums zamani sahivi naona wameikataa. Kwa kifupi ukiona gari inapendwa na madereva Taxi ujue ina roho ya paka.

Huo ndio mtazamo wangu.
Kwa nini IST iwe ya 1.5L na siyo ya 1.3L?
 
Kwa nini premio bei zake huwa zinasimama mnoo mkuu,hata ikiwa used.siri ya hii ndinga ni nini?
 
Nataka kununua gari namba C au D kwa bajeti ya million 7-7.5

Machaguo

1. PREMIO 2006
2. CARINA TI
3. IST
4. ALLION
5. SPACIO

Ni gari ipi hapo inayovumilia na maintanance yake haiumizi kichwa, je ni ipi itanifaa kwa vurugu za hapa na pale nina ratiba nyingi town nataka roho ya paka kweli kweli

Natanguliza shukrani

NB: Naomba usinishauri kununua mpya.
TuGari twa cc ndogo sikushauri brother. Siku tembea na Fuga, Crown, Brevis au GX110 ujionee.
 
Nje ya mada | Je gari ipi inafaa zaidi kwa biashara ya 'Taxi' kwa sasa?.
Mkuu me navoona Taxi kwakua faida ndio kipaumbele inabidi gari iwe na engine ndogo (consumption ndogo ya mafuta), gharama ndogo za matengenezo, iwe vumilivu (maana madereva unaweza mkabidhi gari afu ikapitiliza service yeye akaendelea endesha), na nafasi kubwa kwenye buti.

Kwakua sahivi Bolt, Uber, na huduma zingine za magari ya kurequest zinarudi naona kabisa IST ndio itafaa sana.

Kwanini nasema IST, kwamba ata biashara ikikushinda kuuza itakua rahisi au kuigeuza kua matumizi binafsi itakua nzuri pia.

Hayo mawazo yangu.
 
Kwa nini IST iwe ya 1.5L na siyo ya 1.3L?
Power boss. Kuna tofauti kidogo ya hp pale. Maana 1.5 ina hp 110 hafu 1.3 ina 88 hp. Ni tofauti ndogo na inaweza isionekane ukiwa unaendesha mwenyewe ila siku pandisha abiria watatu wenye kilo zao 60 kwenda juu hafu una kamzigo kwenye buti hafu unapanda kamlima flani utaina inavyoenya. Hafu consumption tofauti ni ndogo sana. Sema ayo mawazo yangu mgando tu ata 1.3 ukipata fresh tuaana mara nyingi magari tunaendesha bila abiria.
 
Nje ya mada | Je gari ipi inafaa zaidi kwa biashara ya 'Taxi' kwa sasa?.
IST.

Ingawa hizi gari naona kama zinauzwa unreasonably high. Mkononi tu inayoeleweka si chini ya 11-12. Kwa difference hii naonaga bora tu mtu aongeze 2M aagize japan kuepuka mengi.

Advantage yake ni kwenye kuuza, zinauzika kirahisi sana hata kama zina vipengele vidogo vidogo.
 
TuGari twa cc ndogo sikushauri brother. Siku tembea na Fuga, Crown, Brevis au GX110 ujionee.
Achana na uyu jmaa anakushauri majini hayooo chukua Allion 1Nz engine cc 1490 utaenjoy at km una mtaji wa karanga unaimudu mafuta kiduchu misele kibaoooo iko sport at ukipak sehem imepoa
 
Back
Top Bottom