Habari zenu wana JF, kiufupi natafuta gari kati ya hizi

Anataka kuthibitisha huoo USIMAMIAJI KUCHA....sababu kwa hiyo 4,5 mil HUWEZI KUPATA PREMIO labda ilopata ajali ukainyooshe mwenyewe
kuna watu wana shida....
Kuna jamaa alitoka kazini akakuta nyumba imezungukwa na madalali na ina mabango ya benki kuwa ni mali ya benki....mke alikopa bila kumshikisha mume..

Jamaa aliachia VX kwa m 12 kunusuru nyumba ya familia..
najua mtabisha...
 
Utapata kwa hiyo hela ila kuna mawili, either injini imefanyiwa overwhole lakini body imesimama, ama body imekuwa repainted zaidi ata ya mara 10 lazima injini imesimama vema. Jitahidi uwe na 6m hapo utapata gari ya maana ambayo haitakusumbua sumbua
Mbona engine kufanyiwa overwhole ni sehemu ya service, engine yenye cc chini ya 2000 unakuta imetembea 150,000 km hivi ring piston zitakuwaje? Ndio humu malalamiko hayaishi magari kula mafuta na unakuta ka stalet kanatoa moshi hadi ukikakalia nyuma inabidi uwashe FOG LIGHT
 
Back
Top Bottom