Habari zenu wana JF, kiufupi natafuta gari kati ya hizi

shybubu

JF-Expert Member
Oct 30, 2016
533
368
-Carina TI
-Allex
-Au Runic
Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri

Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
 
Utapata kwa hiyo hela ila kuna mawili, either injini imefanyiwa overwhole lakini body imesimama, ama body imekuwa repainted zaidi ata ya mara 10 lazima injini imesimama vema. Jitahidi uwe na 6m hapo utapata gari ya maana ambayo haitakusumbua sumbua
 
-Carina TI
-Allex
-Au Runic
Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri

Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
Njoo nikupe Toyota Corolla X,#B.Ila ina marekebisho ya bush na taa 1 ya nyuma
 
Nina premio AZC iko katika hali nzuri haijawahi kushushwa engeen pia ninzima kabisa 5. 5M
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom