Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Katika kipindi chake cha jahazi leo jioni, Ephraim Kibonde amesema habari zinazoandikwa na magazeti ya kwamba kuna watu wamekwenda Afrika Kusini kwa lengo la kumdhuru Dk.Ulimboka na habari za vitisho wanavyopewa viongozi wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) ni habari za kutungwa, na vyombo vya habari vinatakiwa kuthibitisha habari hizo kabla ya kuandika. mfano akasema habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima la leo tarehe 10 july 2012 ni habari ya kutungwa.
Naona huyu jamaa anazungumza upuuzi kama wa Stella Manyanya.
Mie huwa nikisikiliza hii Radio basi napata ugumu mkubwa wa kuelewa maana naona ni makele tu so I opted to give up long time and am better than before