Habari za vitisho kwa Madaktari ni za kutunga - Kibonde wa Clouds FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za vitisho kwa Madaktari ni za kutunga - Kibonde wa Clouds FM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mhalisi, Jul 10, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi chake cha jahazi leo jioni, Ephraim Kibonde amesema habari zinazoandikwa na magazeti ya kwamba kuna watu wamekwenda Afrika Kusini kwa lengo la kumdhuru Dk.Ulimboka na habari za vitisho wanavyopewa viongozi wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) ni habari za kutungwa, na vyombo vya habari vinatakiwa kuthibitisha habari hizo kabla ya kuandika. mfano akasema habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Tanzania Daima la leo tarehe 10 july 2012 ni habari ya kutungwa.
  Naona huyu jamaa anazungumza upuuzi kama wa Stella Manyanya.
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  evidence.
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huwa akianza kuzidiwa
  huwa anaongea hivyo!
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa akili yake ni kibonde tu, watu walishaweka hapa elimu yake inaonesha hata mtihani wa kiswahili wenyewe kwake ili kuwa taabu, siasa ndio kabisa hata mtihani alishindwa kufanya. Hajui kuwa vyombo vya habari vingine viko better kuliko yeye.

  Nadhani anajitahidi sana kujipigia debe angalau arushiwe fupa, lakini hajui kuwa hata fupa lenyewe hastahili. He will keep on kissing... and in the end he will know that ametumiwa na kutupwa. Labda atumiwe e mails na sms walaizotumiwa madkari ndio ajue madr wanasema nini.
   
 5. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Huyu ni mropokaji wala sioni sababu ya kuwa mnaleta upuuzi wake hapa, mnazidi kumpa kichwa! Huwa anaongea vitu kwa mtizamo wake, sasa kama yeey anadai wale niwaongo na yeye ni muongo tena kweli kweli, acha ajipenedekeze, ajikombe kombe mwisho wa siku wamarekani wametangaza nia ya kuacha kutoa zile dawa na zikikosekana ndipo atajua serikali hii inafanya kazi au ni full magumashi. Yaani ile redio ni CCM mwanzo mwisho, siku moja yule mwingine paul alimponda dada wa kituo cha haki za binadam baada ya kuwa wametoa tamko juu ya kutekwa kwa Dr Uli kuwa aliyetoa tamko kwa niaba anaitwa Urio, wala usiumize kichwa ni mtu wa wapt huyu kisha kamalizia mwenyewe KASKAZINI. Wote niwanafki tu pale, njaa zinawapeleka vibaya!
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,621
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Hata habari ya kukamatwa Dk Namala Mkopi aliyaponda magazeti kwamba yalizusha kwani aliitwa na polisi kuhojiwa na kuachiwa na si kukamatwa. Wakati leo kwenye taarifa ya habari wame-report yupo mahakamani
   
 7. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Especially kipindi hiki ambacho mwezi unakaribia kuandama ndo huwa anaongea pumba.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwa fallacy ya jina tu utajua mtu mwenyewe ni wa namna gani?
   
 9. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Akivurugaga dozi na akili nayo inavurugikaga
   
 10. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kibonde ni mropokaji na anaishi kwa kutegemea fadhila asamehewe bure hajui alitendalo maskini wa Mungu huyu
   
 11. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,452
  Likes Received: 2,502
  Trophy Points: 280
  Nawe **** kweli kweli,yani bado tu unasikiliza hilo li kipindi kama sio Radio as a whole
   
 12. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Kha!! Kibondeeeeeeeeeeeeeee mzee wa v....................... full dose mwanangu!!:israel:
   
 13. M

  Mabala The Farmer Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibonde +-0=Udhaifu,mwacheni anatafuta pa kutokea maana anaamini siku 1 atachaguliwa kuwa Dc,kwanza mtu mwenyewe dhaifu tu.
   
 14. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Yawezekana kwa vijana wa siku hizi mnamchukulia Kibonde kama mtu wa maana sana,kwamba akiropoka chochote kinaletwa hapa jukwaani. Namfahamu Kibonde tangu akiwa Muhimbili Primary School. Ni mdogo wangu kwasababu hata dada yake Sarah amesoma nyuma yangu. Hana lolote la maana kwa watu wenye akili kujadili hapa jukwaani.
   
 15. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  sion umuhmu wa kumsikiliza mtu kama kibonde kwanza anaiharbu cluz fm watu wamegamia radio 5!
   
 16. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Waandishi uchwara wa Tanzania nao. Hawana lolote wanaloongeza zaidi ya kutegemea kuishi kwa kuhubiri sifa za wakubwa na Kibonde akiwa mmoja wao.
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mkuki kwa nguruwe,kwa binadam uchungu
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Anawaumbua mbaya kabisa lazima mumchukie
   
 19. p

  popobawa2012 Senior Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ndugu zangu clouds kmebak sports extra tu ingawa nacho kimeanza kudorora! ilo jamaa lenu na wenzie wengi tu pale wana njaa kali sana, hawajiamini ata robo lazima walambe lambe kila wanaeona anaweza kuwabeba!
   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kuna msemo wa kiswahi "JINA BAYA MPE MBWA". Majina yetu kuna wakati yanatuathiri katika utendaji wa ubongo wetu!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...