Habari za Udukuzi.....

Kwaiyo Lissu mama yake ni huyo mama?
 
Weka vyeti basi
Tufanye hivi, Mimi naweka NBA za vyeti vyangu na baada ya hapo na wewe uweke vyako. Usipoweka, moderators watuhakikishie kuwa ambaye hataweka namba ya vyeti vyake kati ya mimi na wewe apigwe ban ya maisha humu.
Nasubiri majibu ya moderators niweke vyeti vyangu na wewe uweke vyako. Binafsi nitaweka vyeti vya;
a)La Saba from Kitobo Primary School (aliposoma pia Mexcence Melo)
b) CSEE from Kahororo Secondary School
c) CSEE from Dakawa High School
d) Bachelor from SAUT (Niliposoma course moja na John Heche na mke wake)
e) Masters from OUT
Nasubiri tu maamuzi ya moderators.
 
Mimi nakusubiri wewe sio moderators
 
Harafu kumbe umesoma arts! ndio maana unawashwa washwa kuweka vyeti! Masomo ya kusoma umelala kitandani ukikariri wahusika wa ngoswe!
 
Awamu hii CDM wako makini mnoo, huwezi kuwayumbisha na ujinga ccm mpaka wateme bungo.
 
Harafu kumbe umesoma arts! ndio maana unawashwa washwa kuweka vyeti! Masomo ya kusoma umelala kitandani ukikariri wahusika wa ngoswe!
Ni jambo jema kwamba unamsharau Lissu na Heche pia!
 
My argument with you is over
You owe me an apology for the serious disrespect you showed me. I’m an educated man—I studied PCB, while you’re studying Ngoswe—and yet you’re puffing out your chest and acting disrespectfully toward me.
 
If I answer you on this, I'll be as foolish as your parents who raised a foolish person like you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…