STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,411
- 7,000
Jamani kuna zile nyimbo za kukaribisha sikukuu za Christimas na Mwaka mpya (Marry christimas and New year) yaani nazipenda sana na ukicheck mda wake ndo huu unaingia, mwaka upo ukingoni..
So ingekuwa vizuri zaidi wakuu mkanisaidia hizo nyimbo.. Mkuu "joanah" nakutegemea sana.. Najua huwezi kosa hzo nyimbo..
Nawasilisha....!!!
So ingekuwa vizuri zaidi wakuu mkanisaidia hizo nyimbo.. Mkuu "joanah" nakutegemea sana.. Najua huwezi kosa hzo nyimbo..
Nawasilisha....!!!