Kwenye Microsoft exvelNaomba msaada formula ya kutafuta division kwenye matokeo ya wanafunzi
Ninawafunzi kama 100 hivi na wana masomo kuanzia 8 haadi 10 kila mmoja lakn masomo yanayotakiwa ni 7 tu aliyofanya vizuri zaidi
Kumbuka A ina point 1 B- 2, C - 3, D -4 na F- 5
Nawasilisha
kivipiKwenye Microsoft exvel