Ushauri mzuri wa tija mwanafunzi asome

May 2, 2013
19
12
Naomba msaada wa kozi gani marketable chuo Cha kati kwa binti mwenye matokeo haya kidato Cha nne. Division 4 ya points 27
CIV - 'C' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
 
Naomba msaada wa kozi gani marketable chuo Cha kati kwa binti mwenye matokeo haya kidato Cha nne. Division 4 ya points 27
CIV - 'C' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
Aende IT tu huyu ana C3 na D1 inafaa kabisa hao wanataka minimum D4 huyu anafaa
 
Khaaaa apumzike kwanza uyo anautani na maisha au aka resiti asee piga fimbo uyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom