lete msg zako za kweli kuhusu jeshi la mbogamboga wewe kama msemaji waoKwa hiyo na nyinyi kabisa mnaamini kuwa hizo mesegi wanatumiwa wana jeshi?kweli tz na raia wake ni chanel ya vichekesho mbinguni.
Ila nyinyi mnao tumika na wanasiasa kutafuta madaraka ndo munao jielewa?aya nendeni mfe ili heche au gwajima awe raisi.Kwa hiyo wew kwa akili zako unafikiri JWTZ wanajielewa😁?
Hakuna mesegi za ukweli wala za uongo bali ni uzushi unao zushwa na wanaharakati kuwajaza ujinga maana wameshaona ni jinsi gani mlivyo wapumbavu na msivyo jielewa.lete msg zako za kweli kuhusu jeshi la mbogamboga wewe kama msemaji wao
Mavi ya mbuziNa lazima kesho niwe wa kwanza kuingia barabarani.
Wewe kweli ni mwehu kwa kwakuamini askari wa JWTZ kukuomba uandamane kwaajili ya mishahara yao kuongezeka. Timiza jukumu lako na haki yako kikatiba pale unapoona umeminywa, usiogope na usifanye kitu kwasababu ya fulani bali kwa maslahi yako, kizazi chako na taifa lako kiujumla kwa uzalendo. Ipende nchi yako (Tanganyika) kwanza kabla ya mengine bro. Tukutane asubuhi mkuu🙏Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya wanakufa na njaa .😅😅sasa Hawa ndo tumewakabidhi mipaka yetu kweli??. Yaani badala walinde nchi wao wanageuka ombaomba, kazi ipo !
Subiri uone 🤣🤣🤣.Mavi ya mbuzi
Thubutu 🤣🤣
Mbona nipo na mama yako kitandan hapa anasema ni kweli jeshi limesemaHakuna mesegi za ukweli wala za uongo bali ni uzushi unao zushwa na wanaharakati kuwajaza ujinga maana wameshaona ni jinsi gani mlivyo wapumbavu na msivyo jielewa.
Hao wanaosema hivyo si ndo waliwambia kuwa jeshi litakuwa na nyinyi?
Vipi bado upo barabarani?Na lazima kesho niwe wa kwanza kuingia barabarani.
Nasumbiliwa kidogo na homa.Vipi bado upo barabarani?
AaahNasumbiliwa kidogo na homa.