Wala mitandao haina shida, sisi ndio tuna shida kubwa saaana na kukosa nidhamu...
Hii mitandao haikuwekwa kwa lengo la sie kujianika huko tena tukiwa watupu hapana!!!!!
Ni ulimbukeni tu wala hamna kingine best..
Sasa hapo tunailamu mitandao au sisi wenyewe bin Adam tulokosa utu!!!!Unalosema ni kweli lakini ndiyo hivyo hakuna chochote kinachofanywa cha kuzuia watu wenye kuipa sifa mbaya mitandao. Sasa imefikia baadhi kuonyesha live mauaji wanayoyafanya live au ujinga ujinga mwingine. 2 or 3 weeks ago kule Pakistan Baba kamuua binti yake live FB, Chicago vijana wanne walimbaka teenager live FB na watu wanaangalia tu. Matukio kama haya ya kusikitisha na kushangaza yatazidi kuongezeka mitandaoni.
Sasa hapo tunailamu mitandao au sisi wenyewe bin Adam tulokosa utu!!!!
YapKila creation ya binadamu Sakayo hapa duniani ina mazuri yake na kasoro zake pia kutegemea na watumiaji husika.
Mzee ujue upunguani upo wa aina nyingiDuh! Huyo sijui alikuwa anawaza nini kupiga picha na mwanae akiwa uchi.
Mzee ujue upunguani upo wa aina nyingi
Hizo ndo tabia za ndg zetu hao do huyo tu ni aslimia 85 wako hivyo.Ili apate sifa mitandaoni
Unamvulia wakati alishakuona insta na kukuzumu juu. Unakuwa unapoteza tu wakati.Siku hizi laana ya mama kumvulia nguo mwanaye sio effective kabisa.
Ndo kwanza safari imeanza,,vumilia tutafikaAisee
Dunia simama nishuke
mmmhh!! huyo mama wa picha ya mwisho ana laana sio bureKala kipondo na selfie juu
View attachment 508674 Kwa sasa kila mtu ni mpiga na mpigwa picha. Ugonjwa wa kupenda picha mbaya sanaView attachment 508670
Mama na mwana(heheee watajuaje nae ana mtoto) style mpya ya kuringishia watotoView attachment 508673