TV ya taifa wap wewee acha uboya itv ni ya kiboya sanaaa hbr za meng inawezwa rushwa hata dakika 20 alaf anamsema manji tuu huu si ungese tuu kwa tv kuwa sehem ya mmilik kutoa mipasho yakee!
Navyo jua mimi ni mwiko kwa chombo cha,habari kuonesha hisia,zake binafsi..juu ya jambo fulani, nimestaajabu naangalia habari sasa hiv hapa ina onesha wazi kabisa hawajalizishwa au kufurahia uamuz wa EL kuhamia CDM...Hamuoni mnakiuka miiko ya uandishi wa habari?? badiliken co siri mnaboa tambueni kwamba watazamaji wenu wana interest tofaut tofaut hivyo c vyema ku base upande wenu...kutokana na interest zenu binafsi.. jukumu lenu ni kutoa habar co kuwa lazimisha watu kuamini mnavyotaka nyie.... ndoroboo nyie

Thanks for observation!
Mkuu next tym uangalie ITV
Azam has the best news bulletin so far!
Hizi ndio akili za wapu uzi. Kutotaka kusikia wasichokipenda