Gilbert Clavery
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 438
- 363
Clouds ni ccm damu hata afra ya wasanii aliaandaa Ruge mbona hiyo inajulikana kipinda 360 kimejaa majungu kazi nikuponda vyama vya upinzani
Yule mwenye panki kwenye 360 eti kwenda kumsindikiza el ni kukosa kazi yakufanya lkn siku ile pombe alipokuwa anaenda kuchukua hakuongea hayo! G hando alikuwa mstari wa mbele sana wakati el yupo ugambani sasaiv hata haruf yake haisikiki!
Mimi nafanya kazi clouds media group, kitengo cha habari. Madai yako sio ya kweli kwa sababu waandishi wa clouds wana vyama tofauti.
Wapo wa chadema, cuf, ccm ,na ACT.
Weka akiba ya maneno yako na usitumie vby jukwaa hili kushambulia watu na kulazimisha hisia zako zifanane na wao.
Chadema mkitaka vya bure anzisheni chombo chenu cha habari ili mpate upendeleo mnaotaka na sio kupiga kelele kwenye mali za watu ni Aibuuuuu kubwa sana.
Juzi juzi tu mmeshindwa kurusha LIVE ya mkutano wa mwanza kwa kujifanya wajuaji wa mambo mpaka ITV wakaandika kuwa ubovu wa tatizo sio wao ni wenu.
Katika live mbovu zilizowahi kutokea bongo na ya kwanza kuichafua ITV ni ya mwanza.
Ukiona unaonewa fungua media yako na sio makelele.
Navyojua mimi ni mwiko kwa chombo cha,habari kuonesha hisia zake binafsi,juu ya jambo fulani.
Nimestaajabu naangalia habari sasa hivi hapa inaonesha wazi kabisa hawajalizishwa au kufurahia uamuzi wa EL kuhamia CDM.
Hamuoni mnakiuka miiko ya uandishi wa habari? badiliken co siri mnaboa tambueni kwamba watazamaji wenu wana interest tofaut tofaut hivyo c vyema ku base upande wenu.
Kutokana na interest zenu binafsi, jukumu lenu ni kutoa habar sio kuwa lazimisha watu kuamini mnavyotaka nyie.