Habari ya asubuhi mwanaJF

Habari ya asubuhi mwanaJF

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Ukiona umeamka salama uko mzima wa afya ni jambo la kumshukuru mungu kwani ni wengi sana walio wagojwa mahosipitalini wengine wametutangulia
mbele za haki , wengine wamekata tamaa ya maisha kwa ajili ya magonjwa yao hayatibiki, kikubwa wewe uliye na nguvu na afya njema mshukuru muumba wako anaekupigania!

Ameen.
 
Pia kuwaombea wenye matatizo ainishwa hapo juu wapate ahueni......
 
mtwa ni mzima nipo naibana hii siri Kali ni naomba mungu aniepushe na tindi Kali daima nitakuwa na itikadi Kali hasa kwakuwa ninahasira kali
 
ameni, nimependa huyo aliyesema tuwaombee na wasiojiweza
 
mtwa ni mzima nipo naibana hii siri Kali ni naomba mungu aniepushe na tindi Kali daima nitakuwa na itikadi Kali hasa kwakuwa ninahasira kali

haaa naanza kukuogopa kumbe wewe mkare!!??!!
 
Wanaoabudu siku ya leo ibada njema Mungu awe nanyi.
 
Back
Top Bottom