Habari wote wana JF

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
994
846
Habarini za majukumu.

Mimi ni mgeni humu JF naomba ushirikiano wenu na nliomba kuuliza swali kidogo kuhusu JF. Je, JF ni mahala sahihi pa kujadili mambo ya kijamii bila woga maana nliwahi sikia kuwa JF founder wake aliwahi kamatwa na pia JF kunyimwa leseni na TCRA naombeni ufafanuzi kidogo wakubwa zangu humu JF.

Karibuni kwa miongozo yenu kwangu
 
Naona awamu hii vipepeo wanaingia kwa kas Sana humu Mana rate inaonyesha miez hii miwili Kuna ongezeko kubwa Sana ila karibu Sana humu mpate hekima za watoto wa wakulima
 
Back
Top Bottom