chavalla JF-Expert Member Apr 13, 2017 451 353 Apr 26, 2017 #1 Jamani kwa ninyi wa fanya biashara za madini naomba kujua soko la madini aina ya spinel soko lake bei yake na size yake tafadhari.
Jamani kwa ninyi wa fanya biashara za madini naomba kujua soko la madini aina ya spinel soko lake bei yake na size yake tafadhari.
Perpendicular JF-Expert Member Jul 5, 2015 1,494 1,182 Apr 26, 2017 #3 Huku tulipo hamna fanya biashara.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,593 70,875 Apr 27, 2017 #4 Nenda mikoa wanapochimba hayo madini