tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Jamani mi nina maswali matatu tu;Hivi mtu aliyemea statistics mfano B.A in Statistics anaweza kufanya kazi zipi? Swali la 2;Kipi ni bora aidha kusoma B.A in Statistics au B.A in Statistics and Economics? Swali #3,Hii KOZI ya Actuarial Science inahusika na masomo yepi hasa na ukimaliza waweza kufanya kazi zipi? AHSANTE KWA WATAKAOCHANGIA!!