Habari wakuu

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Jamani mi nina maswali matatu tu;Hivi mtu aliyemea statistics mfano B.A in Statistics anaweza kufanya kazi zipi? Swali la 2;Kipi ni bora aidha kusoma B.A in Statistics au B.A in Statistics and Economics? Swali #3,Hii KOZI ya Actuarial Science inahusika na masomo yepi hasa na ukimaliza waweza kufanya kazi zipi? AHSANTE KWA WATAKAOCHANGIA!!
 
Swali la kwanza: unaweza kuwa mtakwimu kama ukija serikalini au private au hata ukawa bankteller kama ukiona umetafuta kazi umeshindwa,
swali la pili:yote yako poa ubongo wako kama uko fresh piga na uchumi
swali la tatu:mbona unawaza ajira wakati hujaanza hata kusoma kumbuka unaweza pia kujiajiri,ila wengi tunasoma tupate shahada,kazi ni majaliwa zikitoka omba kama unakidhi vigezo
 
Nakushauri usome Actuarial Science! Wawezafanyakazi PSPF,LAPF,NSSF,PPF and like. Soko la hii kozi ni kubwa kwa sasa kabla Market haijawa saturated kama Accounting! Ni mtazamo tuu wandugu
 
Jamani mi nina maswali matatu tu;Hivi mtu aliyemea statistics mfano B.A in Statistics anaweza kufanya kazi zipi? Swali la 2;Kipi ni bora aidha kusoma B.A in Statistics au B.A in Statistics and Economics? Swali #3,Hii KOZI ya Actuarial Science inahusika na masomo yepi hasa na ukimaliza waweza kufanya kazi zipi? AHSANTE KWA WATAKAOCHANGIA!!

Vipi expecting to join University? Nadhani B.A Stat and Economics inaweza kuuzika zaidi. Si unajua uchumi unadeal na takwimu za hivyo statistics zinakupa added advantage. Ile ingine B.A. stat. labda uajiliwe na research institutions kama NIMR, TALIRO, TACRI etc, iitabidi uchimbuke zaidi kama unakwenda kwenye utafiti uwe na medical statistics (if employed in NIMR) ya nyongeza kwenye MSc training. Nadhani utapata mwanga, Note: my account is not exhaustive!!!
 
Back
Top Bottom