wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Mkuu hawakawii kukuita mchocheziMbona ulinzi mkali sana? Hivi Na Nyerere alikuwa na ulinzi mkali sana hivyo akienda ibadani?
Mkuu hawakawii kukuita mchocheziMbona ulinzi mkali sana? Hivi Na Nyerere alikuwa na ulinzi mkali sana hivyo akienda ibadani?
Ibada imeendeshwa na msaidizi wa paroko wala sii paroko wakati ibada kubwa kama hii ilitakiwa iendeshwe na askofu. anapaswa kujiuliza kulikoni??
Mbona ulinzi mkali sana? Hivi Na Nyerere alikuwa na ulinzi mkali sana hivyo akienda ibadani?
Father Tegete [emoji120] View attachment 731397