Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Baada ya kuwa masomoni nje na mkoa wangu wa kigoma sasa nimerudi nyumbani.
Jana nilikuwa KIBONDO nimepata wasaa mzuri wa kukutana na jf member wa pale na jioni tulikuwa maeneo ya kumwelulo kuna hotel moja inaitwa CHEYO MOTEL, tulienda kuenjoy kule aise sikuamini kama kuna sehemu nzuri kama zile KIBONDO iam proud of it.
Leo nitakuwa KASULU washkaji hawajanipangia tukatumie wapi lkn baada ya vijana wangu wa usalama kukamilisha shughuli yao nitatoa ripoti tuonane wapi, mkazi wa KASULU endelea kufuatilia uzi huu ili ujue km tutakutana wapi au waweza pendekeza.
Kesho j2 ndani ya manispaa ya KIGOMA UJIJI, tayari vijana wangu washafika kule kuandaa mazingira wapi panafaa je ni MASANGA GARDEN, KIZOTA, WEBSITE, BREAK POINT, METCLUB, LAKE TANG, KIBILIZI au wapi. Plz mkazi wa kigoma njoo ukutane na wanajf wenzako pale tutabadilishana mawazo na kuambiana nn kifanyike kuendeleza mkoa wetu. Hautalazimishwa kutaja ID yako ya JF.
Nawasilisha wakuu.