Privatelife
Member
- Jun 18, 2025
- 28
- 62
Huo umati wa watu 23 au 35 unataka kuufanyia nini mkuu?Naitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umati kuanzia 23/35
Maana Yangu umri kakaHuo umati wa watu 23 au 35 unataka kuufanyia nini mkuu?
Hapa umemaamisha awe na umati wa watoto 23-35 au 🤣🤣Mbali awe na Umati kuanzia 23/35
Umati wa nini?Naitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umati kuanzia 23/35
UmriHapa umemaamisha awe na umati wa watoto 23-35 au 🤣🤣
UmriUmati wa nini?
wasukuma tenaNaitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umati kuanzia 23/35
Ahaa sawa, mcheki huyu Marry Diana pengine mtapata muafaka.Maana Yangu umri kaka
Sawa Cheif 🙏Ahaa sawa, mcheki huyu Marry Diana pengine mtapata muafaka.
Bwana John msukuma, vipi mnaweza ku share bwana?Naitwa John
Umri wangu 28 Kabila msukuma
Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35
Bwan yup mkubwaBwana John msukuma, vipi mnaweza ku share bwana?
Tumefanyaje cheifwasukuma tena
miaka 28 !!
Hahahaha hayo ni Majukumu mengine“kushare mambo mbalimbali “
Upo tayar kushare (kumchangia) figo
Anatatizo
UnajiteteaHahahaha hayo ni Majukumu mengine