Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Mifumo imeoza kuanzia serikalini mpk kwenye chamaIf that the case, we are in trouble!

Unaelewa maadili ya uandishi wa habari? unawezaje kutoa taarifa ya upande mmoja?Washtakiwe kwa kosa gani? Wewe hiyo clip, kwa mara ya kwanza, uliisikia kwao? Huo upuuzi Makala ameuongelea hadharani, kila aliyekuwepo mkutanoni aliona na kusikia!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
WanafurukutaWakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Halafu CHADEMA na nyinyi mnafeli, yaani mnataka kufungulia kesi gazeti huku mnamuacha Makalla aliyewapa tuhuma hiyo? Hii inaingia akilini kweli?
Sawa ni gazeti la serikali, mnataka kuona action huko, vipi huyu Makalla? Yeye aende off the hook kwakuwa mmeamua kutarget gazeti?
Mnatukoroga tu!
Baada ya haya yote tunakuja kusema kuna uhuru wa vyombo vya habari nchini? Yaani bado sijaelewa huo ufafanuzi wametoa mpaka sasa!
View attachment 3281231
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wameangalia maslahi mapana zaidi!!👿Wamenunuliwa tayari
Hata kama wakiitoa, haiondoi ukweli kwamba waliichapisha na madhara ya uchapishaji huo tayari yameisha fanyika, kuitoa sio kwamba ndio wako off the hook...Nshala na mawakili wa CDM wawapelekee summons tu wakawalipe Chadema pesa ndefu kwa kukosa weledi wakati wanachapisha habari zisizo na uthibitisho...Baada ya kusikia watashtakiwa ndo wameamua kumnawa mjinga Makalla😅😅😅
BogaliteBoga Lile
Makala, hakuongelea kifichoni! Sina shaka, umesoma na kwenye magazeti, imeandikwa hiyo habari!Unaelewa maadili ya uandishi wa habari? unawezaje kutoa taarifa ya upande mmoja?
What case do you mean?If that the case, we are in trouble!
Mabwege hayaWakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Halafu CHADEMA na nyinyi mnafeli, yaani mnataka kufungulia kesi gazeti huku mnamuacha Makalla aliyewapa tuhuma hiyo? Hii inaingia akilini kweli?
Sawa ni gazeti la serikali, mnataka kuona action huko, vipi huyu Makalla? Yeye aende off the hook kwakuwa mmeamua kutarget gazeti?
Mnatukoroga tu!
Baada ya haya yote tunakuja kusema kuna uhuru wa vyombo vya habari nchini? Yaani bado sijaelewa huo ufafanuzi wametoa mpaka sasa!
View attachment 3281231
View attachment 3281892
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Uko sahihi, chukua maua yako👏💐💐Halafu CHADEMA na nyinyi mnafeli, yaani mnataka kufungulia kesi gazeti huku mnamuacha Makalla aliyewapa tuhuma hiyo?
Hujui sheria. Unadhani wameondoa kwa sababu wana busara sana? Ukiwa na chombo cha habari huwezi kuokoteza ''chochote'' na kuandika au kukiweka kwenye chombo chako kwa sababu tu kimesemwa na fulani na kila mtu amesikia. Ukifanya hivyo chombo chako cha habari kitafilisiwa mara moja. Hapa hawa wajinga washukuru sana mahakama zinafanya kazi kwa maelekezo, la sivyo wangekiona cha moto.Washtakiwe kwa kosa gani? Wewe hiyo clip, kwa mara ya kwanza, uliisikia kwao? Huo upuuzi Makala ameuongelea hadharani, kila aliyekuwepo mkutanoni aliona na kusikia!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ni baada ya kusikia CHADEMA wanataka kwenda mahakamani😂😂😂Wakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Halafu CHADEMA na nyinyi mnafeli, yaani mnataka kufungulia kesi gazeti huku mnamuacha Makalla aliyewapa tuhuma hiyo? Hii inaingia akilini kweli?
Sawa ni gazeti la serikali, mnataka kuona action huko, vipi huyu Makalla? Yeye aende off the hook kwakuwa mmeamua kutarget gazeti?
Mnatukoroga tu!
Baada ya haya yote tunakuja kusema kuna uhuru wa vyombo vya habari nchini? Yaani bado sijaelewa huo ufafanuzi wametoa mpaka sasa!
View attachment 3281231
View attachment 3281892
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MabogaMakalla nammithilisha na Nape. Ni mabogus wakubwa.
Kilichofanywa na makalla sio sawa. Kakurupuka, aweke ushahidi au aombe radhiWakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Halafu CHADEMA na nyinyi mnafeli, yaani mnataka kufungulia kesi gazeti huku mnamuacha Makalla aliyewapa tuhuma hiyo? Hii inaingia akilini kweli?
Sawa ni gazeti la serikali, mnataka kuona action huko, vipi huyu Makalla? Yeye aende off the hook kwakuwa mmeamua kutarget gazeti?
Mnatukoroga tu!
Baada ya haya yote tunakuja kusema kuna uhuru wa vyombo vya habari nchini? Yaani bado sijaelewa huo ufafanuzi wametoa mpaka sasa!
View attachment 3281231
View attachment 3281892
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sio Kila kinachotopokwa na wanasiasa lazima kiandikwe. Nchi zingine makalla angefukuzwa kwenye nafasi hiyo mara mojaMakala, hakuongelea kifichoni! Sina shaka, umesoma na kwenye magazeti, imeandikwa hiyo habari!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hao wanajidhalilisha. Sasa, kwani walikuwa wanamfanyia interview aliyetamka maneno au alitamka mwenyewe?Wakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Halafu CHADEMA na nyinyi mnafeli, yaani mnataka kufungulia kesi gazeti huku mnamuacha Makalla aliyewapa tuhuma hiyo? Hii inaingia akilini kweli?
Sawa ni gazeti la serikali, mnataka kuona action huko, vipi huyu Makalla? Yeye aende off the hook kwakuwa mmeamua kutarget gazeti?
Mnatukoroga tu!
Baada ya haya yote tunakuja kusema kuna uhuru wa vyombo vya habari nchini? Yaani bado sijaelewa huo ufafanuzi wametoa mpaka sasa!
View attachment 3281231
View attachment 3281892
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwenye hiyo habari binaft sioni kosa la gazeti! Makalla aliongea live kabisa tena jamiiUandishi wa habari wenye weledi huwa mwandishi anafanya utafiti pia.Kwa mfano,kabla ya kuchapisha hizo taarifa angeweza kutafiti kama inawezekana kununua virusi hivyo na kuvisambaza.Na madhara ya kutangaza jambo hilo kiuchumi nk.