Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,250
- 24,084
Habari kwenu majeshi ya ulinzi na usalama nchini (Tanzania)?
Tangu uchaguzi upite Leo ni siku ya 9! Lakini cha ajabu hatuoni tena mkifanya mazoezi ya utayari kwa umoja wenu mtaani.
Tulipowaambia mnatumika kisiasa kutisha raia mlitoka hadharani na kusema mnafanya mazoezi ya utayari huo utayari kulikuwa na vita?
Jwtz ni ukweli ulio wazi mnatumika kisiasa kwanini leo hii hayo mazoezi hatuoni mkifanya tena mtaani?
Hivi ninyi mkisikia wananchi mlioapa kuwalinda wanapanga kufanya maandamano basi mnanya Kila namna ya kuwatisha na kuwatia hofu.
Kitu ambacho hamkijui ni hiki kizazi hakitishiki kwa mazoezi yenu hizo mbinu walitumia askari wa kikoloni enzi za wajerumani na waingeleza huko miaka mia na ushee iliyopita.
Sanasana mnazidi kuzoeleka na kuonekana kama mgambo wa soko tu.
Sisi wananchi tutaendelea kudai haki yetu hadi mtuue wote mbaki ninyi na watawala lakini kamwe hatutaogopa bomu wala risasi hadi iishe na itaisha.
Kwani kuna ubaya gani hayo mazoezi mkafanyia maporini huko kisarawe mkulanga na kwingineko?
Kwanza mmetusaliti na hatutawasamehe daima. Hizo damu zilizo mwangika ninyi ndo mmeruhusu zimwagike.