Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,856
- 371
Katika kuelekea kilele cha miaka 50 ya Tanganyika, tbc1 wameweka kipengele cha habari enzi hizo kwenye taarifa ya habari ya sa2 usiku huu. Wameahidi kufanya hivyo hadi kilele chenyewe. Kwa kuanzia wamemwonyesha makamu wa kwanza wa rais Abeid Karume, alipokagua shughuli za maendeleo kisiwani pemba mwaka 1966. Nilichokiona ni "lugha ya picha". Karume ameonyesha kilicho moyoni ndo kinachotendeka kwa ustawi wa taifa. Baadhi ya viongozi wetu siku hizi wanatenda wasiyoyaamini. Na wanaamini wasiyoyatenda. Tukitazame kuna mengi tutajifunza.