***** hawa viongozi Simba hasa Msomali ndio madhala ya kuweka mbogamboga(ccm) kwenye michezo minduku yao wametuharibia timu
***** hawa viongozi Simba hasa Msomali ndio madhala ya kuweka mbogamboga(ccm) kwenye michezo minduku yao wametuharibia timu
Dah Simba mwanipandisha pressure sasa:crying:
shabikia azam
Ndo nahamia hivyo maana namuonea wivu Ndetichia.... Yani sijui Simba imekumbwa na nini dah!
mimi mshabiki wa simba ila uwekezaji wanaofanya azam naupenda,hawana siasa wale jamaa
Kwa sababu Kaseja hakucheza.Liborooo 4 simba 0
rage oyeeee kaburu oyeeee mapambano bado yanaendelea