Haa ! Haa , Sasa Hii Sifa, na Leo Tena Nyama ?

Haa ! Haa , Sasa Hii Sifa, na Leo Tena Nyama ?

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,755
Haa!! Haa!!,Sasa Hii Sifa,na Leo Tena Nyama?!!.....Tunaumizana Pua Jamani.
kitimoto.JPG
 
Faiza fox hawezi pita hapa yatamwamka na hamna wa kumshika sikio hapo wote tunakula hii kitu.
 
Daah....hichi kitu kama sio cha Gamestone kitakuwa cha New City
 
Ni ya kawaida hayo ni sawa sawa na fahari ya macho haifilisi duka tu
 
hapa+na+kule+050.JPG




Sembe, samaki wa kukaanga na mrenda.

Mama weeeee, ukiniwekea mboga hizo hapo sembe ziwe posheni mbili kwa kipimo hicho vinginevyo sishibi
 
Dom.jpg


Hapo spinachi na kachumbari tu, hunilishi minyama ya kukaanga na mafuta tele
 
hws_dagaa%20mit%20ugali%20fertig%20-10.jpg



Sembe kwa dagaa tena hapo umenifikisha kwa pembeni mboga mboga, mbona hadi raha
 
Back
Top Bottom