Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Hii nimeisoma kwa Masanja Mkandamizaji..... nikacheeka sana
Mapenzi ya mtandaoni:
mnaanza uhusiano, mnakosana, mnapatana, mnakosana, mnaachana na hata hamjawahi KUONANA!
Ngoja ukute ni ZOMBI!
Mapenzi ya mtandaoni:
mnaanza uhusiano, mnakosana, mnapatana, mnakosana, mnaachana na hata hamjawahi KUONANA!
Ngoja ukute ni ZOMBI!