WAJASIRIAMALI CHANGAMKIA FURSA

WAJASIRIAMALI CHANGAMKIA FURSA

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
Naamini unajihusisha na ujasiriamali kwenye eneo lako. Katika hili sina budi nikupongeze, lakini ukiongeza na hili itakuongezea kipato. Jifunze mambo yafuatayo hapo ulipo ili uweze kuwahudumia wakulima na wafugaji kwa kuwapunguzia kero ya gharama za chakula cha mifugo. Kwa wakulima watafaidika kwa kutumia mbolea za asili ambazo matokeo yake yana tija kubwa sana.
1. Jifunze kuzalisha Hydroponics Fodder ili uwauzie wafugaji.
2. Jifunze kuzalisha Azolla ili uwauzie wakulima (mbolea) na wafugaji (chakula cha mifugo)

Sisi tutakufundisha kwa njia ya masafa. Hutapoteza muda na nauli kuja kituoni, ila kama unaweza tunakukaribisha. Tupo jijini Mwanza. Soma chini kujua nini tunafanya:-

1. Tunauza vitabu vya mafunzo ya Hydroponics Fodder na trei za alminium kwa ajili ya kuoteshea fodder
1098360


2. Tunauza viambata vyote kwa ajili ya kuzalisha Fodder

3. Tunatoa mwongozo bure kwa ajili ya kujenga mabwawa ya kuoteshea Azolla.

4. Tunauza mbegu za Azolla
1098365


5. Tunasambaza mbolea (organic) inayotumika kwenye Hydroponics Fodder na Azolla.
1098362


Tuko jijini Mwanza, Nyasaka Centre majengo yaliyokuwa yakitumiwa na Chuo cha Afya Mwasenda.

Popote ulipo mzigo utakufikia kwa njia utakayopendekeza wewe.

Piga simu 0626922983
 
Back
Top Bottom