Nakubaliana na mtoa hoja 100% Huyo Busha aliposema eti Mhe. Membe hafai hata kuwa Kiongozi wa Kata ni tusi kubwa mno kwa Mhe. Rais, na washauri wake. Busha aka kuwadi wa mafisadi; anatabia zile za kule kwao maana ni kweli uraia wake una mauza uza. Kutokana na tabia ya kufikiri kama alivyosema Dk. Masaburi na kutokana na tabia za kupenda kutumiwa kama kile kitu cha kuzuia magonjwa ya zinaa (mwanamke na mwanaume) ili mradi hela ya kununulia kuba na mirungi; ndio maana anadiriki kumtukana Membe ambaye ni very senior kwake kwa kila jambo, anamtukana Mheshimiwa Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Chama. Mnaotetea ujinga huu nawaambia kama alivyosema Nape Nnauye juzi kule Sumbawanga dhidi ya wahuni waliomzomea. Membe na Busha wapi na wapi?, Membe na mafisadi wapi na wapi?. Ni heri mtu anayebebwa kuliko kuwadi wa mafisadi. Membe ni Mwadirifu, ni mzalendo, ni mtu makini. Vita vyake na mafisadi ni sawa na vita vya Mungu na shetani. Nani atakuwa mshindi. Endeleeni kushabikia hao mnaowaita majembe ya kuzolea mavi.