H. BASHE Mwombe Radhi RAIS KIKWETE na MH B. MEMBE HARAKA!!!

Nakubaliana na mtoa hoja 100% Huyo Busha aliposema eti Mhe. Membe hafai hata kuwa Kiongozi wa Kata ni tusi kubwa mno kwa Mhe. Rais, na washauri wake. Busha aka kuwadi wa mafisadi; anatabia zile za kule kwao maana ni kweli uraia wake una mauza uza. Kutokana na tabia ya kufikiri kama alivyosema Dk. Masaburi na kutokana na tabia za kupenda kutumiwa kama kile kitu cha kuzuia magonjwa ya zinaa (mwanamke na mwanaume) ili mradi hela ya kununulia kuba na mirungi; ndio maana anadiriki kumtukana Membe ambaye ni very senior kwake kwa kila jambo, anamtukana Mheshimiwa Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Chama. Mnaotetea ujinga huu nawaambia kama alivyosema Nape Nnauye juzi kule Sumbawanga dhidi ya wahuni waliomzomea. Membe na Busha wapi na wapi?, Membe na mafisadi wapi na wapi?. Ni heri mtu anayebebwa kuliko kuwadi wa mafisadi. Membe ni Mwadirifu, ni mzalendo, ni mtu makini. Vita vyake na mafisadi ni sawa na vita vya Mungu na shetani. Nani atakuwa mshindi. Endeleeni kushabikia hao mnaowaita majembe ya kuzolea mavi.
 
Membe ni mwadirifu, mzalendo, mchapa kazi na makini. Anaopambana nao ni mafisadi, wakurupukaji, wanachukua maamuzi magumu kwa kuangamiza Taifa mfano; Richmwendo. Hivyo vita vyake na watu hawa ni sawa na vita vya Mungu na shetani. Nani atashinda?
 
Bashe anajiringia nguvu walizonazo al Shabab

etii...?magamba mnatuharibia nchi kihivyo?Mnajua jamaa ni al shabab halafu mmepa njia y akuingi aktk system za nchi.Sasa mnasema wazi hofu zenu juu ya mlichokilea?kweli mnahitaji pigwa moto wote.Ktk karne hii mnajipeleka ktk tatizo na kudai mnaliogopa tatizo?does it mean hamkuwa mnafanya mjuacho?NI mangapi sasa hamjui ahlafu mnazidi tuingiza?
 
Mimi si bashe aka al shababu lakini ukweli ni kwamba


1. Je ni kweli Rais Kikweta ndie anayembebabeba Mh B. Membe? -ndiyo
2. Je alianza lini kumbeba? Amembeba kiserikali au pia na kichama? - toka 2006 na ndio serikalini na chamani
3. Je amekua akimbebabebaje? - kumpa vyeo vya upendeleo kama mshahara wa kumwangusha Kitine na Lowassa


4. Je ni kiongozi gani mwingine wa CCM au serikali anayehusika kumbebabeba Membe?- Riziwani na Salma Kikwete
5. Je kwakua umesema amezoeakubebabebwa ina maana ni mara nyingi, je ni mara ngani? Na amebebwa kwenye nini hasa? - mara nyingi kwenye kila kitu


5.5. Je huoni kauli yako inaonyesha RAIS KIKWETE ni mtu wa kubebabeba watu wasio na uwezo?- Ni kweli Kikwete ni mtu wa kubeba watu wasio na uwezo kama Angela Kairuki na Betty Mkwasa

6. Je unataka kutueleza kua RAIS KIKWETE NI TAAHIRA kwa kumbeba mtu ambae unasema hafai kua hata kiongozi wa kata? Je huoni kua unamkosea sana Mwenyekiti wako? -Ndio

7. Je ni sahihi mtu asiyewezakua hata kiongozi wa kata kupewa Wizara nyeti kama ya Nje?-Kwa Kikwete ni sawa

8. Je wewe binafsi umewahi kuomba kukutana na Mwenyekiti wako wa chama na kuelezea jinsi Waziri wake alivyo wa hovyo? Kama kwa Mwenyekiti ni maji marefu je umewahi kuyapeleka hayo kwenye vikao halali vya chama?-Sina haja ya kutia maji kwenye gunia halitajaa kamwe

Aksanteni-Bashe nitafute unilipe kwakukujibia haya maswali kwa ufasaha na ufanisi uliotukuka
 
NYAMTOROKA

Daima UKWELI utabaki UKWELI.... Unadai namsifia Sana Membe . Ukweli ni kwwamba Bashe alisema MEMBE hatapata nafasi TOP 10 YA NEC but Membe akapata sasa hapo unasema namsifia. namsifia nini huo ndo UKWELI.

Washindi 20 wa Kundi la kifo 2007 WOTE kasoro Membe walikimbilia mawiliyani this time. Huo ndo ukweli sasa nikisema ukweli ndio kumsifia? JIPANGE
Mkuu ulitaka Membe apite kupitia Lindi?
Sasa Salma Kikwete angepitaje bila kupingwa huko Lindi?
 
NGWANAKIKLALA

Majibu yako yanaakisi elimu duni uliyonayo. Umesema JK anawabebabeba wengi na mmojawapo ni Angela Kairuki!!! TEMA MATE CHINI. Miongoni mwa mawaziri bora na wasio na blaablaa ni huyu mama. Kama huna habari zake nenda Wizara ya sheria utathibitisha jinsi alivyomzidi Chikawe kiutendaji. Aidha A. Kairuki wiki mbili zilizopita amekonga nyoyo za mataifa mbalimbali kwa kuwakilisha ripoti nzuri ya human rights tofauti na wenzake wa nchi ZOTE za maziwa matatu. JIPANGE
 
MINZE

Du hiyo kali kwamba BASHE NI EL SHABAB? Mimi hilo silijui mi huongelea vitu nivijuavyo na nilivyo na uhakika navyo tu mfano nilisema membe atashinda NEC na nikasema secretariat mpya ya ccm ni pigo kwa kambi ya lowasa na ndivyo ilivyo
 
MINZE

Du hiyo kali kwamba BASHE NI EL SHABAB? Mimi hilo silijui mi huongelea vitu nivijuavyo na nilivyo na uhakika navyo tu mfano nilisema membe atashinda NEC na nikasema secretariat mpya ya ccm ni pigo kwa kambi ya lowasa na ndivyo ilivyo
Mkuu ni pigo kwa Lowassa kivipi?

Kwani ulikuwepo Arusha jana ukaona na kusikia kwa siri au kwa wazi nini kinaendelea ndani ya CCM ya sasa.
Wajinga ndio waliwao!!
 
parurareni mkishatwangana huko kwenye vikao na mahakamani mje mtuambie tuje tuchangie,
 
CONCRETE
Unaonekana bado mchanga sana kisiasa. 2010 Rais Kikwete alienda kuwanyoosha mikono kwenye majimbo yao MAFISADI eg Mramba,Lowasa etc. So yaliyotkea jana Arusha ndo politics zenyewe. Kwahiyo hata pich a ya Nape na Lowasa leo gateni ndo kusema watu hawa sasa ni best friends?Ukikua utaelewa.
 
CENCER09
BASHE atyakapogalagazwa utapata tu taarifa siku hizi magazeti ni mengi
 
Back
Top Bottom