• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

H. BASHE Mwombe Radhi RAIS KIKWETE na MH B. MEMBE HARAKA!!!

G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
Tarehe 10 Novemba 2012, kijana mdogo mwenye Uraia wa kuungaunga na elimu ya Kuungaunga wanaemwita Hussein Bashe aliamua kuyavurumisha makombora kwa kasi ya ajabu na bashasha nyingi mbele ya waandishi wa habari mjini Idodomya.Miongoni mwa makombora hayo ambayo ni kichaa tu ndie anayewezakuyavumilia bila kuchukua hatua maani vinginevyo watu wataamini ni ukweli ni pale aliposema "MEMBE AMEZOEA KUBEBWABEBWATU NA VIONGOZI,HANA UWEZO HATA WA KUONGOZA KATA ". Watanzania wengi walipigwa butwaa na makombora hayo wakishangaa mambo mengi. kwanza, Bashe alikopata ujasiri wa kuyavurumusha, pili, ushahidi gani aliokua nao, tatu "timing" ya makombora hayo (muda mfupi tu kabla ya vikao nyeti vya ccm kuanza).

Nimeitafakari kwa makini kauli hii na kuona suala la kubebwa linahusisha watu wawili yaani mbebaji na mbebwaji. Bashe asemapo Membe anabebwabebwa lazma tujiulize ni nani hao wanaombebabeba?? Nionavyo mimi, kwavile Mh Rais wetu mpendwa J. Kikwete ndiye aliyemteua Mh Membe mara ya kwanza kuwa Naibu waziri na hatimaye Waziri kamili tena wa moja ya Wizara nyeti kabisa basi Kosa la kubebabwebwa(kama kweli lipo) MTUHUMIWA WA KWANZA NI MH Rais Kikwete na MTUHUMIWA WA PILI ni Mh B. Membe.

Kwa hali hiyo, Bashe ukiwa ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM naomba unijibu maswali yafuatayo:

1. Je ni kweli Rais Kikweta ndie anayembebabeba Mh B. Membe?
2. Je alianza lini kumbeba? Amembeba kiserikali au pia na kichama?
3. Je amekua akimbebabebaje?
4. Je ni kiongozi gani mwingine wa CCM au serikali anayehusika kumbebabeba Membe?
5. Je kwakua umesema amezoeakubebabebwa ina maana ni mara nyingi, je ni mara ngani? Na amebebwa kwenye nini hasa?
5.5. Je huoni kauli yako inaonyesha RAIS KIKWETE ni mtu wa kubebabeba watu wasio na uwezo?
6. Je unataka kutueleza kua RAIS KIKWETE NI TAAHIRA kwa kumbeba mtu ambae unasema hafai kua hata kiongozi wa kata? Je huoni kua unamkosea sana Mwenyekiti wako?
7. Je ni sahihi mtu asiyewezakua hata kiongozi wa kata kupewa Wizara nyeti kama ya Nje?
8. Je wewe binafsi umewahi kuomba kukutana na Mwenyekiti wako wa chama na kuelezea jinsi Waziri wake alivyo wa hovyo? Kama kwa Mwenyekiti ni maji marefu je umewahi kuyapeleka hayo kwenye vikao halali vya chama?

Kwa heshima na taadhima, Bashe NAKUSIHI SANA umwombe radhi Mh Rais kwani umemkosea SANA!

Aidha, nimjuavyo Membe ni kua ni mtu makini sana. Kitendo cha yeye kuamua kukupeleka kwenye chama na pia mahakamani ujue kwamba ametafakari kwa kina na ana ushahidi wa kutosha. Anajua anachokifanya.Ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko wewe kuweza kuyathibitisha mahakamani yale yote uliyoyasema dhidi ya Mh Membe. Maneno yale hata STEVE WONDER ATAYAONA ni defamation ya wazi kabisa. Naelewa fika peke yako huna ubavu wa kuyataja yale uliyotaja bali kuna kundi kubwa nyuma yako ambalo linadhani kwa matumizi ya fedha kila kitu kinawezekana. Kwa sasa niliweke pembeni kundi hilo niendelee na wewe.

Ulipotoa kauli yako kua utahakikisha Membe hapiti kwenye Top Ten ya NEC niliandika uzi humu JF na nikakueleza bayana kwamba tatizo lako humjui vizuri Membe na kwamba lazma atapita na kweli akapita. Baada ya Membe kupita ukionyesha uchanga wako wa siasa ukadai "Eti, Membe mwenyewe kapita kwa mbinde!". Hata J . Kikwete 2002 alikua wa 18 kati ya 20 lakini ndiye aliyekuja kua Rais 2005. Nakueleza fika kwamba Membe atashinda kesi yake mahakamani na utaamrishwa kumlipa. Najua kwakua unatoka kundi la mafisadi hilo halikupi shida kwani watakulipia na ndio maana ukajitapa kua unamsubiri Membe mahakamani ushindane nae. Hata hivyo binafsi naiogopa zaidi kesi yako inayopelekwa kwenye kamati ya chama. ule "UHAINI" wa wewe na kundi lako kutaka kumnyanganya Rais Uenyekiti wa chama chetu huku mkieleza bayana kwamba chama kinayumba" kwasababu tu ya nyinyi kuitwa mafisadi pamoja na mambo yako ya kutoa bastola na kashfa mbali mbali zinazokuzunguka kijana mdogo kama wewe hivi vyote vinaonyesha mustakabali wako ndani ya siasa nchini unaelekea kubaya!. Kwa wewe na kundi lako kuanza matayarisho ya kufanya "UHAINI" kisha mkakwama na baade kumsingizia Mh Membe eti ndie aliyechapisha makaratasi hayo ni kitendo KIBAYA SANA na ni MWEHU TU ataacha kipite hivi hivi! Mh Membe akiamua kugombea Urais hili linawezakua ni doaKUBWA hivyo ni LAZMA ajisafishe na ukweli ujulikane.

Kuna wasemao kua Mwenyekiti alisema ccm wameondoka Dodoma kama wamoja hivyo hatua achukuazo Membe si sahihi. Huu ni uvivu wa kufikiri. Sina haja ya kuelezea zaidi. Bashe naona kabisa kuna hatari ya Kamati ya CCM kuanza na wewe kama mfano kua sasa CCM ina viongozi wapya na wenye kuchukua maamuzi muafaka. Utakapochukuliwa hatua stahiki itatuma ujumbe kwa watu wenye mchezo wa kuwachafua wenzao bila sababu yoyote. Usijekusema hukutaadharishwa!

Ili haya yasikufike nakushauri uombe appointment na Mh Membe umpigie magoti umwamkie (Maana vijana kama nyie hata adabu hamna mnajiona mko sawa na Viongozi wetu), uombe radhi, uwataje wote waliokutuma. Baada ya hapo futa magoti, ita Press Conference kisha UTIRIRIKE na kumuomba radhi Mh RAIS na MH MEMBE. Huu ni uamuzi mgumu lakini hutakua wa kwanza kutoa maamuzi magumu.

Mwalimu Nyerere tarehe 3.4. 1955 alitakiwa achague ama kuendelea na Ualimu (ambapo alikua ni kati ya Watanganyika wachache wanaolipwa hela nyingi) au aendelee na siasa kazi isiyo na hela na ya kujitolea. Mwalimu akachagua siasa. Aidha, wakati CCM imefanya mabadiliko na kupunguza Kundi la Kifo toka wajumbe 20 hadi 10, wengi waliokuwemo kwenye kundi la kifo la 2007 mf Lowasa, Chenge, Sumaye waliamua kukimbilia mawilayani ili wapite kirahisi lakini Mh Membe alitoa maamuzi magumu na kuamua kua TUTABANANA HAPA HAPA. Kqwakufanya hivyo akawa ni MTU PEKEE aliyekuwemo kwenye wajumbe 20 wa 2007 ambaye aligombea kundi la kifo la nafasi 10. Mh Membe angeweza kwa urahisi tu kwenda Lindi na akashinda bila kupingwa kama Chenge au akashindana na wengine na kushinda kwa 99% kama Lowasa. Hivyo Bashe fanya MAAMUZI MAGUMU kama Mwalimu Nyerere na Mh B. Membe. YES YOU CAN.

Huu ni USHAURI TU ambao nakupa binafsi na sijatumwa na yeyote hivyo unaweza KUUPOTEZEA iwapo unaona hauna tija.

Great thinkers, mwaonaje??
 
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
1,640
Points
0
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
1,640 0
Yupo anaIDs zake za kutosha kujibu maswali yako yote. Subiri aanze.
 
Magwangala

Magwangala

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
2,084
Points
2,000
Magwangala

Magwangala

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
2,084 2,000
Duh,najua unafahamu kuwa mgadafi wako ni mtu wa kubwa siku zote,kura za itifaki ndio zimemnusuru,Jk mwenyewe toka moyoni anajua kuwa amembeba mno,asichojua ni kuwa mgadafi habebeki,ni aibu kuu kwa mgadafi wako kukubali kubebwa na mtoto mdogo kama Riz1,jk amembeba mgadafi kwa kuiammuru familia yake izunguke kwa wajumbe kumwombea kura,hili nalo unawezabisha?
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,963
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,963 2,000
Kama mtu ana bebwa ulitaka anyamaze? Mbona ile case mlio sema mtaifungua dhidi yake mme uchuna? Na mlijua lazima muumbuke kabisa!

Mna bahati amkwenda maana mge vuana nguo hadharani!
 
Sumbalawinyo

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Messages
1,284
Points
0
Sumbalawinyo

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2009
1,284 0
Bashe anajiringia nguvu walizonazo al Shabab
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,996
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,996 2,000
HAYANIHUSU,,NADECLARE WAZI WAZI,YA WAHUJUMU UCHUMI WA NCHI YANGU HAYANIHUSU WALA HAYANISHUGHULISHI KIVYOVYOTE

2015 TUH NAIONA MBALI NA KAMA MUNGU ATANIPA PUMZI HAD KUFIKIA HIYO 2015 NITAITUPA TUH BAHARINI CCM ILIWE NA PAPA,KATU KAMWE SIWEZI IZIKA MAITI YA CCM

IMEUA NDUGU ZANGU WENGI SANA,NINA MACHUNGU NAYO SANA

:crying:
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,698
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,698 1,195
Kwani hujui kubebana ndio sera ya mwenyekiti wenu, kama ni uongo mtuambie watuhumiwa wa ufisadi mmewafikisha wapi? na sasa mnabeba majangiri.
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,807
Points
1,500
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,807 1,500
Membe anabebwa maana hajui anachofanya au anachosema. Juzi tuu alisema SADC, JK akasema hatutaki SADC waingilie mgogoro wetu. Mh Mundhir alimsema Membe almost 10yrs ago, jamaa nadhani ni sawa na yule Saidi Meck (Bodyguard wa JK) kuleta askari wa JW kariakoo kuzuia maandamano
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
15,441
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
15,441 2,000
kwanini Membe amepita kwa kubebwa tena wazi kiasi hicho? kwanini tusiamini pia membe ni mtu dhaifu sana? Membe alishindwa kushawishi wajumbe hadi abebwe.Alafu mkuu wa nchi kupitia familia yake kupiga kampeni wazi vile hatuoni hili peke yake ni tatizo? mbaya zaidi pamoja na mwenye dola kumbeba wazi bado kapita kwa taabu! hii inamaanisha wajumbe hawamueshimu mkuu wa nchi? anyway Bashe yupo humu.
 
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
BASHE hakudanganya kitu kweli Membe anabebwa

Pia BASHE hana elimu ya kuungaunga bana labda huo uraia wako ambao waziri wa mambo ya ndani ilitamka wazi kwamba hauna matatizo
 
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
2,048
Points
1,500
HUGO CHAVES

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
2,048 1,500
napita bashe aje kujibu
 
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Messages
3,942
Points
2,000
PhD

PhD

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2009
3,942 2,000
Tarehe 10 Novemba 2012, kijana mdogo mwenye Uraia wa kuungaunga na elimu ya Kuungaunga wanaemwita Hussein Bashe aliamua kuyavurumisha makombora kwa kasi ya ajabu na bashasha nyingi mbele ya waandishi wa habari mjini Idodomya.Miongoni mwa makombora hayo ambayo ni kichaa tu ndie anayewezakuyavumilia bila kuchukua hatua maani vinginevyo watu wataamini ni ukweli ni pale aliposema "MEMBE AMEZOEA KUBEBWABEBWATU NA VIONGOZI,HANA UWEZO HATA WA KUONGOZA KATA ". Watanzania wengi walipigwa butwaa na makombora hayo wakishangaa mambo mengi. kwanza, Bashe alikopata ujasiri wa kuyavurumusha, pili, ushahidi gani aliokua nao, tatu "timing" ya makombora hayo (muda mfupi tu kabla ya vikao nyeti vya ccm kuanza).

Nimeitafakari kwa makini kauli hii na kuona suala la kubebwa linahusisha watu wawili yaani mbebaji na mbebwaji. Bashe asemapo Membe anabebwabebwa lazma tujiulize ni nani hao wanaombebabeba?? Nionavyo mimi, kwavile Mh Rais wetu mpendwa J. Kikwete ndiye aliyemteua Mh Membe mara ya kwanza kuwa Naibu waziri na hatimaye Waziri kamili tena wa moja ya Wizara nyeti kabisa basi Kosa la kubebabwebwa(kama kweli lipo) MTUHUMIWA WA KWANZA NI MH Rais Kikwete na MTUHUMIWA WA PILI ni Mh B. Membe.

Kwa hali hiyo, Bashe ukiwa ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM naomba unijibu maswali yafuatayo:

1. Je ni kweli Rais Kikweta ndie anayembebabeba Mh B. Membe?
2. Je alianza lini kumbeba? Amembeba kiserikali au pia na kichama?
3. Je amekua akimbebabebaje?
4. Je ni kiongozi gani mwingine wa CCM au serikali anayehusika kumbebabeba Membe?
5. Je kwakua umesema amezoeakubebabebwa ina maana ni mara nyingi, je ni mara ngani? Na amebebwa kwenye nini hasa?
5.5. Je huoni kauli yako inaonyesha RAIS KIKWETE ni mtu wa kubebabeba watu wasio na uwezo?
6. Je unataka kutueleza kua RAIS KIKWETE NI TAAHIRA kwa kumbeba mtu ambae unasema hafai kua hata kiongozi wa kata? Je huoni kua unamkosea sana Mwenyekiti wako?
7. Je ni sahihi mtu asiyewezakua hata kiongozi wa kata kupewa Wizara nyeti kama ya Nje?
8. Je wewe binafsi umewahi kuomba kukutana na Mwenyekiti wako wa chama na kuelezea jinsi Waziri wake alivyo wa hovyo? Kama kwa Mwenyekiti ni maji marefu je umewahi kuyapeleka hayo kwenye vikao halali vya chama?

Kwa heshima na taadhima, Bashe NAKUSIHI SANA umwombe radhi Mh Rais kwani umemkosea SANA!

Aidha, nimjuavyo Membe ni kua ni mtu makini sana. Kitendo cha yeye kuamua kukupeleka kwenye chama na pia mahakamani ujue kwamba ametafakari kwa kina na ana ushahidi wa kutosha. Anajua anachokifanya.Ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko wewe kuweza kuyathibitisha mahakamani yale yote uliyoyasema dhidi ya Mh Membe. Maneno yale hata STEVE WONDER ATAYAONA ni defamation ya wazi kabisa. Naelewa fika peke yako huna ubavu wa kuyataja yale uliyotaja bali kuna kundi kubwa nyuma yako ambalo linadhani kwa matumizi ya fedha kila kitu kinawezekana. Kwa sasa niliweke pembeni kundi hilo niendelee na wewe.

Ulipotoa kauli yako kua utahakikisha Membe hapiti kwenye Top Ten ya NEC niliandika uzi humu JF na nikakueleza bayana kwamba tatizo lako humjui vizuri Membe na kwamba lazma atapita na kweli akapita. Baada ya Membe kupita ukionyesha uchanga wako wa siasa ukadai "Eti, Membe mwenyewe kapita kwa mbinde!". Hata J . Kikwete 2002 alikua wa 18 kati ya 20 lakini ndiye aliyekuja kua Rais 2005. Nakueleza fika kwamba Membe atashinda kesi yake mahakamani na utaamrishwa kumlipa. Najua kwakua unatoka kundi la mafisadi hilo halikupi shida kwani watakulipia na ndio maana ukajitapa kua unamsubiri Membe mahakamani ushindane nae. Hata hivyo binafsi naiogopa zaidi kesi yako inayopelekwa kwenye kamati ya chama. ule "UHAINI" wa wewe na kundi lako kutaka kumnyanganya Rais Uenyekiti wa chama chetu huku mkieleza bayana kwamba chama kinayumba" kwasababu tu ya nyinyi kuitwa mafisadi pamoja na mambo yako ya kutoa bastola na kashfa mbali mbali zinazokuzunguka kijana mdogo kama wewe hivi vyote vinaonyesha mustakabali wako ndani ya siasa nchini unaelekea kubaya!. Kwa wewe na kundi lako kuanza matayarisho ya kufanya "UHAINI" kisha mkakwama na baade kumsingizia Mh Membe eti ndie aliyechapisha makaratasi hayo ni kitendo KIBAYA SANA na ni MWEHU TU ataacha kipite hivi hivi! Mh Membe akiamua kugombea Urais hili linawezakua ni doaKUBWA hivyo ni LAZMA ajisafishe na ukweli ujulikane.

Kuna wasemao kua Mwenyekiti alisema ccm wameondoka Dodoma kama wamoja hivyo hatua achukuazo Membe si sahihi. Huu ni uvivu wa kufikiri. Sina haja ya kuelezea zaidi. Bashe naona kabisa kuna hatari ya Kamati ya CCM kuanza na wewe kama mfano kua sasa CCM ina viongozi wapya na wenye kuchukua maamuzi muafaka. Utakapochukuliwa hatua stahiki itatuma ujumbe kwa watu wenye mchezo wa kuwachafua wenzao bila sababu yoyote. Usijekusema hukutaadharishwa!

Ili haya yasikufike nakushauri uombe appointment na Mh Membe umpigie magoti umwamkie (Maana vijana kama nyie hata adabu hamna mnajiona mko sawa na Viongozi wetu), uombe radhi, uwataje wote waliokutuma. Baada ya hapo futa magoti, ita Press Conference kisha UTIRIRIKE na kumuomba radhi Mh RAIS na MH MEMBE. Huu ni uamuzi mgumu lakini hutakua wa kwanza kutoa maamuzi magumu.

Mwalimu Nyerere tarehe 3.4. 1955 alitakiwa achague ama kuendelea na Ualimu (ambapo alikua ni kati ya Watanganyika wachache wanaolipwa hela nyingi) au aendelee na siasa kazi isiyo na hela na ya kujitolea. Mwalimu akachagua siasa. Aidha, wakati CCM imefanya mabadiliko na kupunguza Kundi la Kifo toka wajumbe 20 hadi 10, wengi waliokuwemo kwenye kundi la kifo la 2007 mf Lowasa, Chenge, Sumaye waliamua kukimbilia mawilayani ili wapite kirahisi lakini Mh Membe alitoa maamuzi magumu na kuamua kua TUTABANANA HAPA HAPA. Kqwakufanya hivyo akawa ni MTU PEKEE aliyekuwemo kwenye wajumbe 20 wa 2007 ambaye aligombea kundi la kifo la nafasi 10. Mh Membe angeweza kwa urahisi tu kwenda Lindi na akashinda bila kupingwa kama Chenge au akashindana na wengine na kushinda kwa 99% kama Lowasa. Hivyo Bashe fanya MAAMUZI MAGUMU kama Mwalimu Nyerere na Mh B. Membe. YES YOU CAN.

Huu ni USHAURI TU ambao nakupa binafsi na sijatumwa na yeyote hivyo unaweza KUUPOTEZEA iwapo unaona hauna tija.

Great thinkers, mwaonaje??
Team membe unaangaika usiku kucha kumsifia boss wako, Huku ndio kubebwa kwenyewe, tuambie umelipwa ngapi kwa makala hii ya kumbeba membe ambaye hata wabunge wa mkoa wa LINDI hawamkubali.juzi tu kakosana na mama ghasia na kaenda kumshitaki kwa JK kuwa mama ghasia ni mfuasi wa lowassa, ninao ushahidi wa kubebwa bebwa na kulia lia kwa membe.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,133
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,133 2,000
BASHE hakudanganya kitu kweli Membe anabebwa

Pia BASHE hana elimu ya kuungaunga bana labda huo uraia wako ambao waziri wa mambo ya ndani ilitamka wazi kwamba hauna matatizo
Muulize Kinana Mzee wa Pembe za ndovu siyo Msomali?
 
K

Kisindika

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
515
Points
0
K

Kisindika

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
515 0
Sasa kama Bashe uraia wake ni wa kuungaunga imekuwaje mkampatia madaraka makubwa ndani ya CCM? Kumbe nyie CCM ndio mnaoiuza nchi hii kwa wageni na kuwaacha raia wa TZ wakiwa hawana shughuli ya kufanya?
 
QueenBee

QueenBee

Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
63
Points
0
QueenBee

QueenBee

Member
Joined Mar 15, 2012
63 0
Acheni. Hamumjiu Huyu JOKA LA MDIMU. MEMBE ni MUONGO, MZUSHI na BINGWA wa UNAFIKIKI. hata sisi watu wa Mikoa ya Kusini hatumtaki. Na hawezi kupata Urais. Charity begins at home...
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,460
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,460 2,000
Ndugu wanauana kwa ajili ya kugombea mali ambayo sio yao.. Endeleeni kutafunana kwani ulafi mwisho wake ni anguko kuu..
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
LINCOLN

Kaka ulikua mtu wa kwanza kuchangia na ukasema we subiri tu BASHE ana IDs nyingi atajitokeza tu mda mfupi...Du haya haujapita muda yote uliyoyasema yametimia! BASHE na IDs zake kibao kajitahidi sana kuonyesha Membe ndo mwenye tatizo na sio yeye ambae ana matatizo rundo ndani ya chama mengine yakihusisha matumizi ya bastola. Ama kweli JASIRI AACHI ASILI. Huyu NI HARAMIA LA KISOMALI
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
MAGWANGALA

Tatizo langu always na TEAM LOWASA ni kua why hampendi kujadili hoja, nyie kila siku ni ***** tu. NARUDIA TENA. Kwa kauli ya Bashe kua Membe ni mtu wa kubebwabebwa je Rais nae ana hatia?
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
QUEENBEE
Kama kweli hukom Kusini hamumtaki Membe ni kwanini 2010 ALIPITA BILA KUPINGWA? We nawe ni kama huyo BASHA huna hoja zaidi ya kueleza unafiki~!
 
G

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
302
Points
0
G

galiya

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
302 0
NYAMTOROKA

Daima UKWELI utabaki UKWELI.... Unadai namsifia Sana Membe . Ukweli ni kwwamba Bashe alisema MEMBE hatapata nafasi TOP 10 YA NEC but Membe akapata sasa hapo unasema namsifia. namsifia nini huo ndo UKWELI.

Washindi 20 wa Kundi la kifo 2007 WOTE kasoro Membe walikimbilia mawiliyani this time. Huo ndo ukweli sasa nikisema ukweli ndio kumsifia? JIPANGE
 
Forum statistics

Threads 1,402,747
Members 530,977
Posts 34,403,903
Top