Gypsum board design ya kuficha curtain roads

kokaumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
404
Reaction score
188
Habari wakuu, nimevutiwa na design ya gypsum board ya kuficha curtain roads. Fundi wangu anasema anaweza kutengeneza. Lakini najiuliza vishikio ya curtain roads vitagongwa vipi?...fundi naye hana idea. Msaada mafundi nimuelekeze fundi wangu.
 
Attachments

  • Screenshot_20250904_202137_Gallery.jpg
    Screenshot_20250904_202137_Gallery.jpg
    166.8 KB · Views: 39
Habari wakuu, nimevutiwa na design ya gypsum board ya kuficha curtain roads. Fundi wangu anasema anaweza kutengeneza. Lakini najiuliza vishikio ya curtain roads vitagongwa vipi?...fundi naye hana idea. Msaada mafundi nimuelekeze fundi wangu.
Vishikio vinagongelewa katika nafasi iliyopo kati ya hiyo gympsum ya juu na hii gympsum ya chini, vinginevyo labda na hiyo gympsum ya juu nayo iwe na uwazi kama ilivyo hii gympsum ya chini, vyovyote ni sawa lakini kitu cha kuzingatia inatakiwa juu ya huo uwazi pawe pamezibwa ili kutoruhusu vumbi la kwenye dari kushuka chini.

Vishikio vinatakiwa vigongelewe kwanza kabla ya kuanza kupiga mbao za dari.

Na kwa ushauri, tafuta vishikio vya chuma ili ukiweka uwe umeweka maana hivi vya plastic ikitokea vimepachuka utapata shida kuvibadilisha kutokana na hiyo nafasi kuwa ndogo.
 
Asante sana
 
Ukitaka kubadilisha pazia au kufua inakuwaje
 
K

Kama hufahamu kitu ni bora ukae kimya
 
Habari wakuu, nimevutiwa na design ya gypsum board ya kuficha curtain roads. Fundi wangu anasema anaweza kutengeneza. Lakini najiuliza vishikio ya curtain roads vitagongwa vipi?...fundi naye hana idea. Msaada mafundi nimuelekeze fundi wangu.
Badilisha fundi mkuu huyo fundi wako yupo nyuma ya muda
 
Back
Top Bottom