Gymnasium Schools | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gymnasium Schools

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Darwin, Jun 8, 2009.

 1. D

  Darwin JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  locality for both physical and intellectual education of young men

  Huwa najiuliza,
  Kwanini Tz au nchi nyingi za Africa hazina mfumo huu?

  Kuna watoto wengine ni smart sana mashuleni na mwalimu akifundisha japo dakika tano tu mwanafunzi ameshaelewa kabisa kinachofundishwa, huku akiwashangaza wanafunzi wenzake ambao hata kwa lisaa lizima lakini bado hawajaelewa.

  Kwanini Tz hakuna Gymnasium Schools?
  Shule ambazo wanafunzi wanakwenda wenye vipaji tu, na hawana muda wakupoteza kukaa miaka na miaka kwenye madarasa ya wanafunzi wakawaida.

  Hii inasaidia mwanafunzi toka mwanzo anajua atachosoma ninini baadae.


  Mwisho naomba radhi kama hii post nimeiweka pasipohusika.
   
 2. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hizi sio zile vipaji maalum Mungai alitaka kuzifutilia mbali? Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Tabora School e.t.c? Au sijakuelewa?
   
 3. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Habari ya Moshi bwashehe!
   
 4. D

  Darwin JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  A state-maintained secondary school that prepares pupils for higher academic education. This type of nine-year school originated in Europe. Though the usual graduation age is 19 or 20, pupils may terminate their studies at age 16 and enter a vocational school.
   
Loading...