Gym yenye bei affordable

Gym yenye bei affordable

martial arts

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Habari za muda huu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza,kwa wale wazoefu wa jiji ningependa kuuliza ni gym gani ambayo ni nzuri with affordable price kwa maeneo ya kariakoo,upanga,msasani na masaki.Bei isiwe zaidi ya 50000 kwa mwezi au ikienda sana 60000.
Nawasilisha
FB_IMG_1561734055961.jpeg
 
Kuna Gym moja ipo temeke nyuma kidogo na Cresence jaribu kuulizia.
 
Unataka 6 pack ili uToMbEe watoto na wake za watu?
Acha hizo aisee!!
 
Kwanini Gym, wakati unaweza kujifua mwenyewe, Ukiamka pasha misuli moto- push ups 50-100, sit-ups 50, ruka kamba, kichura, nk nk. Kama mtu ulipitia jeshini, basi Gym watakusikia tu.
 
Njoo jirani na shule ya mapambano sinza kuna gym nzuri tu elfu hamsini kwa mwezi ukija niambie
 
Pigia matizi home au kwenye kiwanja cha mpira,
squat,pushups,situps,skiping rope n.k
then hiyo 50 kila mwezi unaanza kukusanya vifaa vya matizi mdogo mdogo mpaka na ww utamiliki vifaa vyako,
 
Pigia matizi home au kwenye kiwanja cha mpira,
squat,pushups,situps,skiping rope n.k
then hiyo 50 kila mwezi unaanza kukusanya vifaa vya matizi mdogo mdogo mpaka na ww utamiliki vifaa vyako,
Shukrani mkuu kwa ushauri.
 
Habari za muda huu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza,kwa wale wazoefu wa jiji ningependa kuuliza ni gym gani ambayo ni nzuri with affordable price kwa maeneo ya kariakoo,upanga,msasani na masaki.Bei isiwe zaidi ya 50000 kwa mwezi au ikienda sana 60000.
NawasilishaView attachment 1144885
Fanya usafi ghetto kila asubuhi. Ufagie uwanja deki chooni, tembea kwa mguu kwenda/kurudi kazini/mizunguko yako
 
Back
Top Bottom