Gym si salama tena kwa wake zenu

Gym si salama tena kwa wake zenu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Hapa mjini kila kitu na kila sehemu watu wanatumia kama fursa ya kugegedana, iwe saloon, iwe massage parlours... nk

Vijana wa mujini siku hizi wanagegeda wake zenu kwenye GYM, mke wako anaondoka asubuhi saa kumi na moja anachukua gari anasema anaenda gym kupunguza mwili kumbe anaenda kugegedwa.

Akifika mapemaaaaa, anagegedwa akimaliza anakuwa mwepesi, anachukua gari anarudi nyumbani.

Mda huo bado baba naniu umelala tu kitandani.

By: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
Utafiti wako huu ndio wa kupatia Phd? No wonder education system is full of jokers! Nani kakwambia kugegedwa ni Gym peke yake? Wengine mnatokea dunia tofauti I guess!
 
the art ya kufuga kunguru.......and everything about it....
 
Utafiti wako huu ndio wa kupatia Phd? No wonder education system is full of jokers! Nani kakwambia kugegedwa ni Gym peke yake? Wengine mnatokea dunia tofauti I guess!

Mbona kama umepaniki kujibu, soma vizuri amesema Gym ni moja ya sehem moja wapo tu...
 
ahahahahhaa...huyu jamaa na research zake za ajabuajabu ila kau-kwaa u-daktari bana (PhD)....

some how kuna ukweli ila nadhani sample yako ya uchunguzi ilikuwa ndogo sana kiasi kwamba ingetumika kwenye randama za mzee warioba lazma kina prof tibaijuka dr mwakyembe na hata prof shivji wangeipinga tuu.....

haiwezekani mkeo mmoja tuu aliwe gym ndio iwe tangazo na uchunguzi wako uwekwe kwenye media kuwa "GYM SASA NI HATARI KWA WAKE ZETU"

ndio ni kweli...ila hata nyumbani tunapoishi ni hatari kwa wake zetu maana mama wa nyumba ya jirani analiwa na houseboy wake....UMENISOMA MCHUNGUZI HURU PHD DOCTOR.....wereva.

at least for now i do care.......
 
the art ya kufuga kunguru.......and everything about it....

Maisha ya kunguru...akiamka asubuhi sinza kelele kwa sana huku akisogelea gabagge bin, ataokota kipande cha ukoko ukimstua anaruka nacho hadi manzese, pale ataona kifaranga kilichokufa ataachia ukoko na kukiokota..ataruka nacho hadi tandale akiwa akikidonoa tumbo ..kule atoana utumbo ataachia kifaranga na kudaka utumbo, kwa kuwa pale kuna familia nyingi za kunguru watamfukuza na atakimbia na utumbo wake hadi magomeni...katika pitapita ataona mbwa akiyegongwa na gari huku wenzie wakichangamkia minofu..naye atajiunga....yaani mpaka arudi sinza jioni keshapita mitaa yote ya dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom