HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,413
- 6,134
Wananzengo habari za hapa bongo Mimi nimtz nilikuwa masomon North Korea kwa mapank nmerudi sasa naishi Tabata reli hivyo nauliza sehemu ya mazoezi hapa Tabata ni wapi ilinikaendeleze maana kule NK ilikuwa lazima upende usipende