Gym imekubali kisawasawa(Members Only)

Hizi nguo zinginee...

Hivi ntaweza kunyanyua dumbel akiwa mbele yangu.....
 
sura anayo
mguu anao
hayo maeneo ya kati sasa kama amechongwa
mapaja yejaa ukimuangalia tu raha

Mh Temba enzi zake
 
Ivi kwa mfano mkuu ilo paja la upande mmoja tukisema tunalipeleka bucha iyo steki itatoa kilo ngaaa
 
Ivi kwa mfano mkuu ilo paja la upande mmoja tukisema tunalipeleka bucha iyo steki itatoa kilo ngaaa

Hilo paja halipelekwi buchan mkuu...hilo ni chumban tu!!! Maswala ya kilo ngapi yatajulikana humo humo chumbani!!! Nashangaa kuna watu mtaani wanajiona matawi sana!!! Pu.mbav
 
mbona picha ya kulia anapiga picha bum/ bottom yake huku katoa ulimi kiaina?! Yaani anajitamani mwenyewe!! Hilo litakuwa la kichina!!! Ila kuna ushamba fulani ndani yake!!!

Picha ya kati, kwapa limejaa jasho, aghhaa!!

fr ma exp awa kitandani awana tofauti na tablet ...kwa nje nzuri kweli ila ukiwa na suruali za kushona utaishia kuibeba mkononi mwanzo mwisho wwakati ka htc kangu kananipa laza ile ile ya tablet kila niendako na kako mfukoni....
 
Hilo paja halipelekwi buchan mkuu...hilo ni chumban tu!!! Maswala ya kilo ngapi yatajulikana humo humo chumbani!!! Nashangaa kuna watu mtaani wanajiona matawi sana!!! Pu.mbav

Hahaha....ila kila style na kilo chake
 
Gym yoyote watu kama hawa hawakosi, wao wanakuja kujipiga picha tu mwanzo mwisho kisha wanaenda nyumbani.
 
Angle zote analipa, hata kwa wasio member waruhusuni kwa pichaa hii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…