Gym imekubali kisawasawa(Members Only)

Gym imekubali kisawasawa(Members Only)

Bado mimi tu kukamua...

Kwa sasa anatoka na James Harden mchezaji wa NBA,alianza kazi kama stripper akiwa anaingiza kiasi cha usd 500 per night,alimake mkwanja mpaka akaweza kununua nyumba yake mwenyewe,alibugi alipopata mchumba teja akamfilisi kila kitu mpaka akauza nyumba,akaamua kwenda kanisani na kumtumikia mungu,alishafanya video na Fabolous -Make you better,Drake -find your love na kina Llyod-Get it shawty,Video queen huyu ana utajiri unaofikia milioni 550 kwa fedha za kitanzania,mme wake ana makataba wa 13m kwa mwaka kwenye team yake.(Mara nne na nusu wa hasheem thabit)
 
Liwalo na liwe lazima na mimi nikamue hapo.....
 
Back
Top Bottom