GX 110 Toyota Mark ii

Hivyo Avatar yako ina uhusiano wowote na hizo shughuli zako 'binafsi' ulizokuwa unafanya na sasa umemaliza unaondoka nchini? Swali la pili bwana bosi kwanini uliagiza gari mpya kabisa kwa shughuli ndogo 'binafsi' ambayo ulijua ukomo wake hauko mbali? Hayo tu boss!
 
Mimi nina 6.5 utachukua?
 
Hahaaaa. Imebidi niangalie avatar

Yaani huyu cenzo huyuuuu. Mnnnhhh.
 
Last edited by a moderator:
kaazi kwelikweli na conspiracy theories za kibongo!
Sio conspiracy theories bro na of course you are not bound to my thoughts. Ila xtrail na harrier old model ukishanunua jua in LA kwako.

Labda umpate asiejua gari anae enda na drift kisa yamejaa mjini na yana body nzuri.
 
Hahahaa, nakuhakikishia kwamba MNADANGANYANA, kama una xtrail au harrier old model umekwama nayo sema tukuletee pesa. Hizo kila siku tunaziuza kama kawaida, last week nimeuza harrier old model number B, 12M CASH! Mtaani watu huwa wanadanganyana sana, gari A ina matatizo sana...kimeo sijuwi nini na nini, kumbe vimeo ni mafundi wa mitaani wasiotaka kwenda shule! Gari imetoka Japan inachapa kazi miaka kumi na kitu haina shida, ifike Tandale tu iwe na matatizo bado huoni tatizo lilipo?!!!
 
Sio conspiracy theories bro na of course you are not bound to my thoughts. Ila xtrail na harrier old model ukishanunua jua in LA kwako.

Kwani sista kwa haya maelezo yako una uhakika jamaa anauza hizo gari 2 ulizozitaja?.
 
Well said chief
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…