Gwaride hima.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mguu pande,mguu sawa,mguu pande,mguu sawa,mguu pande.
Mbele geuka,nyuma geuka,kushoto geuka,kulia geuka.
Mbele tembea.

Hi hap hap hap,hi hap hap hap,gwaride hima,
kushoto geuka,moja mbili tatu moja,

hi hap hap hap,hi hap hap

nyuma geuka

tawanyika.
 
Hii nimetunga wiki nzima lazima mcheke tu
 
he hiri rigwaride mbona harizingatii itifaki? Mi nimegwarideka kwenye sita kwa sita majasho yamenitoka nasubiri kipoozeo cha juisi nasikia tawanyika skubali nasubiri zawadi ya ushindi hadi unipe siondoki tena nalala chali...
 
Hii nimetunga wiki nzima lazima mcheke tu

ousofia kama nakuona kwanza unavoongea kinigeria kwene zile muvi sasa si mara zote kinatokea unachokitegemea mi sjacheka ila nimelia kwa zoezi ulilonipatia japo kilio cha utamu na hapa nasubiria juisi yako nipoe maana majasho yananitoka natweta hoiii
 
Back
Top Bottom