Gwanda la CHADEMA ni UKOMBOZI...TUPIA MANENO HAPO......

Nimemkubali sana jamaa huyu, natamani sana kufanya hivyo, lakini watoto wangu wote wana umri zaidi ya miaka 18, na wametawanyika sehemu mbali mbali ya nchi. Nitajitahidi niwashawishi ili tupate picha ya pamoja kama hiyo.
 
Hata Muasisi wa Taifa hili alipiga gwanda wakati alipokuwa anatetea nchi itoke mikononi mwa wakoloni weupe, sasa kwanini watu wasivae sasa kujikwamua kwenye kwenye ukoloni huu mweusiii.....!
 
Nimeikubali hiyo,hata mie nimeshawishika sana,na nitafaanya hivyo soo.

Nape akiona hiyo anatamani kutoroka inchi.
 
Gwanda linamchanganya hata Nape. Siku anakiri na kupongeza ushindi wa CHADEMA Arumeru alivaa gwanda japo lilikuwa jeusi. Lakini hata sare zake za CCM nyingine ni magwanda ya kijani.
 
Gwanda linamchanganya hata Nape. Siku anakiri na kupongeza ushindi wa CHADEMA Arumeru alivaa gwanda japo lilikuwa jeusi. Lakini hata sare zake za CCM nyingine ni magwanda ya kijani.

Nikweli anaonyesha mapenzi yake halisi yalipo
Japo hatumhitaji.
 
Nimemkubali sana jamaa huyu, natamani sana kufanya hivyo, lakini watoto wangu wote wana umri zaidi ya miaka 18, na wametawanyika sehemu mbali mbali ya nchi. Nitajitahidi niwashawishi ili tupate picha ya pamoja kama hiyo.
Unataka kuniambia huyu mwana Chadema wote hao ni watoto wake?!!!!!!!!!!!
 
kina merinyo na wenzake kazi ya kutafuta vazi la taifa imeisha sasa pigeni promo watz waanze kuchangamkia gwanda.
 
Back
Top Bottom