Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Kuna thread humu inasema hayo ni maelekezo ya Pinda. Halafu inaonesha serikali yetu kuna mambo inatakiwa kufanya haifanyi mpaka wanapopingwa. Mfano, The East African. Pia ina maana waalifu wanaoiunga mkono serikali hii hawachukuliwi hatua.
Unajua maana ya Cardiac Arrest?Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?
Well said.Umeshasahau ya Makonda, Nape, Lowasa na wengine! Likiwa linamanufaa kwa serikali yao wanalipigia saluti!
Ninachojua mimi huwezi ukahojiwa kwa swala ambalo halijaripotiwa polisi? kwani summons ya kumuita ilimuhitaji kwa kosa gani? aidha iweje ahojiwe kwa swala la mali zake ili kosa lililompeleka pale ni tofauti ? Siku zote tujue Gwajima alikuwa na haki kisheria kukataa kabisa kuhojiwa na jeshi la polisi alikuwa na haki hiyo na kuwaambia hasemi chochota mpaka atapofikishwa mahakamani. Sasa kama unahojiwa kwa swala la kutumia lugha ya matusi iweje uhojiwe kuhusiana na mali kwa ni mali zinauhusiano na kumtukana Pengo ? kwani mali zake ndiyo chimbuko la kumtukana Pengo?
Unajua maana ya Cardiac Arrest?
Kuhusu mali zake inawahusu nini?...za Lowassa mnajua alipataje?ashawahi kuitwa polisi kuhojiwa?..mzee wa vijisenti je?
Labda uniambie kuna mtu kalalamika that katapeliwa/kaibiwa nk,otherwise kuna mchezo mchafu hapa!!!!
Cha ajabu nini hapo. We mbulula kweli? Kwa nini ukienda hospitali unalalamika kuumwa kichwa dokta anakucheck damu, mapigo ya moyo nk? Na mwisho unakutwa na Malaria, Typhoid, Pressure nk.? Kosa moja hutoa kiashiria cha uhalifu wako mwingine. Kamatwa na bangi mfukoni uone kama hawakusachi nyumba nzima!!
Tulisikia na kuona kwamba Mchungaji Gwajima aliitwa central police kuhojiwa kuhusiana na MATAMSHI aliyoyatoa dhidi ya Askofu Pengo, Aliitikia wito na alikuwa na Mwanasheria wake, sasa nataka kujua haya
1. Ni kwa vipi police walihoji mali za mchungaji
2. Mwanasheria wake alikua na msaada gani wakati wa mahojiano
3. Mbona hatujawahi kusikia mtu yeyote akiitwa kuhojiwa juu ya mali zake
Sasa jeshi la police kazi zenu zinanichanganya iweje mtu amtollee matamshi mtu mwingine alafu mahojiano na police yawe kuhusu mali?
WAUNGWANA TUMEFIKA PABAYA
Abbyssus abbyssum invocat
Unaniuliza kama najua maana ya cardiac arrest unadhani mi naweza kukurupuka tu? Unafahamu taaluma yangu? Kuwa makini
wamtie adabu mhuni huyo manake tumechoka sasa
kamueleza kweli:
kamueleza kweli:
[video]https://youtu.be/TiEqzHvHJIw[/video]