Gwajima

Gwajima

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
Tulisikia na kuona kwamba Mchungaji Gwajima aliitwa central police kuhojiwa kuhusiana na MATAMSHI aliyoyatoa dhidi ya Askofu Pengo, Aliitikia wito na alikuwa na Mwanasheria wake, sasa nataka kujua haya
1. Ni kwa vipi police walihoji mali za mchungaji
2. Mwanasheria wake alikua na msaada gani wakati wa mahojiano
3. Mbona hatujawahi kusikia mtu yeyote akiitwa kuhojiwa juu ya mali zake
Sasa jeshi la police kazi zenu zinanichanganya iweje mtu amtollee matamshi mtu mwingine alafu mahojiano na police yawe kuhusu mali?

WAUNGWANA TUMEFIKA PABAYA

Abbyssus abbyssum invocat
 
Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?
 
Polisi wanataka kuomba lifti tu kwenye hummer hawana lolote
 
Kuna thread humu inasema hayo ni maelekezo ya Pinda. Halafu inaonesha serikali yetu kuna mambo inatakiwa kufanya haifanyi mpaka wanapopingwa. Mfano, The East African. Pia ina maana waalifu wanaoiunga mkono serikali hii hawachukuliwi hatua.
 
Na wewe kwa nini hujiulizi, Mali zake ndo ilikuwa sababu ya yeye kutakiwa polisi?

Jambo la muhimu la kujiuliza ni whether or not hizo tuhuma zina ukweli ndaniyake..ni kawaida sana kwa polisi kuunganisha case..we hujawai kuona mtu anasimama mahakamani anaunganishiwa mashtaka kwa case zaidi ya 10 ambazo zote zimefanyika nyakati tofauti?
 
Ninachojua mimi huwezi ukahojiwa kwa swala ambalo halijaripotiwa polisi? kwani summons ya kumuita ilimuhitaji kwa kosa gani? aidha iweje ahojiwe kwa swala la mali zake ili kosa lililompeleka pale ni tofauti ? Siku zote tujue Gwajima alikuwa na haki kisheria kukataa kabisa kuhojiwa na jeshi la polisi alikuwa na haki hiyo na kuwaambia hasemi chochota mpaka atapofikishwa mahakamani. Sasa kama unahojiwa kwa swala la kutumia lugha ya matusi iweje uhojiwe kuhusiana na mali kwa ni mali zinauhusiano na kumtukana Pengo ? kwani mali zake ndiyo chimbuko la kumtukana Pengo?
 
wamtie adabu mhuni huyo manake tumechoka sasa
 
....
3. Mbona hatujawahi kusikia mtu yeyote akiitwa kuhojiwa juu ya mali zake
Hatujawahi kusikia au hujawahi kusikia? Juzi hapa Tibaijuka amehojiwa kuhusu mali zake, akasema milioni kumi ilikuwa kwa ajili ya mboga yake ya siku mbili
 
Ilikuwaje mwanasheria wake asimuelekeze boss wake cha kufanya, kipi ajibu na kipi asijibu........wanasheria njooni huku mtusaidie hili limekaaje.........kwamza anaendeleaje kiafya?
 
Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?

Mbumbu wa kufikiri,wewe unajua kilichotokea hadi akazimia?au unataka mpaka siku wamfanyie mtu wako wa karibu ndo uwajue polisi wetu
 
mali ndo zinamfanya ajione gangwe wa kutukana watU hovyo
 
Huenda majibu yake kuhusu lililompeleka pale ndio yalizaa maswali kuhusu mali zake.
 
Jambo la muhimu la kujiuliza ni whether or not hizo tuhuma zina ukweli ndaniyake..ni kawaida sana kwa polisi kuunganisha case..we hujawai kuona mtu anasimama mahakamani anaunganishiwa mashtaka kwa case zaidi ya 10 ambazo zote zimefanyika nyakati tofauti?

ungekua sawa kama kesi alizounganishiwa ni za kumkashifu au kudhalilisha mtu meingine. lakini kesi ya mali ni beyond the scope wataalam wanasema
 
Mbumbu wa kufikiri,wewe unajua kilichotokea hadi akazimia?au unataka mpaka siku wamfanyie mtu wako wa karibu ndo uwajue polisi wetu

We Anjela fisi kweli! Hebu rejea maswali ya owner wa hii thread...kuna sehemu ameuliza "Sasa jeshi la police kazi zenu zinanichanganya iweje mtu amtollee matamshi mtu mwingine alafu mahojiano na police yawe kuhusu mali?"
Jibu langu lilikuwa based on that part...
We anjela bila shaka hiyo bikra ulitolewa kupitia kubak.wa
 
Hatujawahi kusikia au hujawahi kusikia? Juzi hapa Tibaijuka amehojiwa kuhusu mali zake, akasema milioni kumi ilikuwa kwa ajili ya mboga yake ya siku mbili

Huyu bibi alihojiwa kituo kipi cha polisi eti we msukuma??
 
Ilikuwaje mwanasheria wake asimuelekeze boss wake cha kufanya, kipi ajibu na kipi asijibu........wanasheria njooni huku mtusaidie hili limekaaje.........kwamza anaendeleaje kiafya?

Angemsaidiaje wakati POLICCM KOVA washafanya yao kumnyamazisha four four four Askofu???
Hivi ulishawahi kuhojiwa na hawa polisi wa Kova wakiwa washapewa maelekezo maalum kutoka juu??
 
Back
Top Bottom