Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,413
- 30,966
Heri kusimama naye hata jf, kuliko kusimama na hizi:
View attachment 3354664
imhotep, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Fortilo na wale wengine au nasema uongo?

Heri kusimama naye hata jf, kuliko kusimama na hizi:
View attachment 3354664
imhotep, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Fortilo na wale wengine au nasema uongo?

Kumbe wajinga mpoYeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.
HakikaInakuwaje chokochoko ya kidini? Katukana dini ingine? Angemsifia Rais kwenye nyumba ya Ibada ingekuwa chokochoko ya kidini? Kufungia taasisi ya kidini yenye waumini kibao kwa "kosa" la muumini moja, hii ndio twaweza tafsiri kama chokochoko ya kidini hasa mwenye mamlaka akiwa wa dini ingine.
Japo wewe ni mpumbavu naomba tu nikujibu kiungwana, Gwajima anajua wazi kuwa wanufaika wakubwa wa utekaji na mauaji hayo wapo hukohuko bungeni, kwa hiyo ingekuwa vigumu kwake kuongelea masuala hayo huko,Yeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.